Author: Mbeya Yetu

Nilistaafu na kupata kiinua mgongo changu, hivyo nikaanza kujenga jengo kijijini kwangu, ilikadiriwa kugharimu Ksh2.1 milioni fedha ambayo haikuwa shida kwangu kwani nilikuwa nimepokea zaidi ya Ksh10 milioni za kustaafu kutoka katika kazi yangu. Niliajiri mafundi kutoka Nairobi ambao nilijua wanaweza kufanya kazi nzuri na kwa muda mfupi sana, wakaanza ujenzi. Walikuja na tukanunua baadhi ya vifaa muhimu vinavyohitajika. Walianza msingi na punde tu jenga lilianza kusimama, lakini katika wiki yao ya tatu, msimamizi wa kazi alisema hajisikii vizuri na alitaka kuchukua siku kadhaa za kupumzika. Alisafiri hadi mjini kuungana na familia yake tena huku akingoja kupata nafuu. Nilikuwa na…

Read More

Jina langu ni Sam, mkazi wa Kakame hapa nchini Kenya, miaka saba hivi iliyopita bila kutarajia nilimpa mimba binti ambaye sikuwa na mpango nae wa kumuoa licha ya yeye kuwa ananipenda sana hadi kuwa tayari kufanya lolote kwa ajili yangu. Kutokana na kutokuwa tayari kuwa baba kwa kipindi kile, hivyo nilimzimia simu na kupotea kabisa machoni mwake. Uzuri nilipokuwa naishi yeye alikuwa hapajui, mara zote tulikuwa tunakutana katika nyumba za kulala wageni. Basi mimi niliendelea na maisha yangu bila kujua kipi kinaendelea kwa upande wake na wala sikutaka kufuatilia. Ilipita kama miaka miwili huku akiwa hajui kabisa nilipo maana nilibadilisha…

Read More

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) anaendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kasikazi Pemba na Unguja (Zanzibar) ya kutembelea maeneo ambayo waheshimiwa wabunge wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walimuomba afike na kujionea changamoto ya Mawasiliano katika majimbo yao. Mhe. Mahundi amepokelewa na mwenyeji wake Mhe. Dkt Khalidi Salumu Mohammed Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Aidha, Mhe Mahundi katika Ziara hii ametembele maeneo mbali yenye changamoto za mawasiliano Kwa upande wa Mkoa wa Kasikazini Pemba amekagua hali ya mawasiliano katika Kisiwa cha Kojani,…

Read More

REGROW ni Mradi wa Serikali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Lengo la kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utalii kusini mwa Tanzania. Hifadhi ya Taifa ya Ruaha pamoja na hifadhi ya Mikumi, Udzungwa na Nyerere wanatekeleza mradi huu. Kutokana na utekelezaji wa mradi wa REGROW au shughuli za Hifadhi ya Taifa Ruaha, unaweza kuwa na maoni au malalamiko yanayotokana na shughuli hizo. Kila mtu ana nafasi ya kutoa malalamiko yake kuhusu changamoto zinazotokana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na shughuli za Mradi wa REGROW. Iwe malalamiko ya athari zinazotokana na usimamizi wa hifadhi, kero za ardhi, unyanyasaji na…

Read More

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akielekea katika kisiwa Cha Kojani kilichopo wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba kukagua hali ya upatikanaji wa mawasiliano katika kisiwa hicho leo Tarehe 21 Novemba 2024. Aidha Mhe Ibrahim Juma afisa mzamini wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi amemweleza Mhe Mahundi kuwa Shehiya zinazohitaji kuongezewa uwezo wa masiliano katika Mkoa wa kaskaziniPemba ni Kojani kisiwani,Mchanga mdogo,Kuwuyu Minungwini,Kuwuyu Kibongoni pamoja na Shehiya ya Kanyikanyi

Read More

Mtoto wangu Baraka alijiunga na chuo miezi michache iliyopita na kama unavyojua ni furaha ya kila mzazi kuona mtoto wake akifaulu na kupanda ngazi za juu kimasomo, mafanikio yake yamekuwa ya kusisimua sana kwangu. Hata hivyo, miezi mitatu baada ya kujiunga na chuo kikuu, nilianza kupigiwa simu na marafiki zake kwamba alikuwa anafanya umalaya na kutumia dawa za kulevya na hata kujihusisha na magenge hatari. Nilidhani ni uvumi lakini baada ya kupigiwa simu uongozi wa chuo kuwa mwanangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nilijua hali ni mbaya huko tena sana. Nilijaribu kumtafuta lakini alikataa kupokea simu yangu na hata ya baba…

Read More