Naibu Waziri wa Uchukuzi Mawasiliano na Ujenzi Mhandisi Atasashta Nditiye ameagiza kuchukuliwa hatua za Kisheria Mkandarasi wa Ujenzi wa Jengo la Abiria Uwanja wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya kutokana na kushindwa kumaliza ujenzi kwa muda uliopangwa.
Trending
- Waziri Mkuu Ajibu Maswali Mazito Toka kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari
- WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE
- Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi
- Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa
- Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii
- Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting
- Hatua moja muhimu ya kufanikiwa kibiashara
- MSIGWA Atoa Onyo kwa Vyombo vya Habari vya Nje: Zingatia Maadili

