Katika kuhakikisha kiwango cha Kitaaluma kwa shule za Msingi na Sekondari nchini Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Mkoa wa Mbeya unatarajia kuanzisha mashindano maalumu ya kupima uwezo wa walimu ambapo Mwalimu Bora atapewa tuzo maalumu Teachers Champion Award.

