Nilipofahamu Ushirikina Usioonekana Kwenye Familia Yangu, Kila Nilichojuwa Kilikuwa KinaogopeshaJanuary 17, 2026
Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya(MZRH) imekuwa ni Hospitali ya kwanza nchini kuwa na huduma ya Mkalimani wa lugha ya alama. Mkalimani huyo ambaye ameajiriwa na Hospitali hiyo atatumika kuwasaidia Viziwi ili waweze kupata huduma bila usumbufu.