Madiwani wa Chama Cha Demokrasia CHADEMA Jiji la Mbeya wametoa tamko rasmi kupitia Meya wa Jiji hilo David Mwashilindi ambaye pia ndiye Meya wa Jiji la Mbeya wakipinga uvumi kuwa wapo Madiwani wengine ambao watakihama chama hicho hivi karibuni.
Trending
- Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9
- KAULI YA SAMIA YAWASHTUA WENGI: MWANAMKE MZURI HUPIGANIWA
- Hakukata tamaa hadi alipopata mtoto wake kwa njia hii
- SAMIA: VIONGOZI WA DINI MSIJIVISHE MAJOHO KUONGOZA NCHI – AWANYOOSHEA KIDOLE TEC
- Yard yake ilianza kujaza wateja kutoka pande zote
- RAIS SAMIA AFUNGUKA MAZITO MBELE YA WAZEE!
- Mkutano mkuu Simba vurugu tupu
- KANISA LA EAGT BETHELI GOMBE UYOLE MBEYA NA UJUMBE MZITO KATIKA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LAO
