Wamiliki na waendeshaji wa mitandao ya Kijamii You Tube na blogs wamelalamikia kitendo cha baadhi ya mitandao ya kijamii nchini kuendelea kurusha maudhui bila kusajiliwa na kuitaka Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kudhibiti mitandao inayorusha maudhui bila ya kuwa na leseni.
Trending
- VIBE: CUoM: Maandamano ya Wanachuo 2,819 Yatingisha Jiji la Mbeya
- Mahundi Awataka Wahitimu Kutumia Elimu kwa Maendeleo ya Jamii
- KOCHA MEXIME AAHIDI KUREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI MBEYA CITY FC, KUSHUSHA ”VIFAA” DIRISHA DOGO
- *DKT. MWIGULU AMBANA MKANDARASI UJENZI WA BARABARA YA KITAI-RUANDA*
- MBEYA UWSA YAONGEZA UFANISI, NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MAGARI YA KISASA
- Kila mwanamke mzuri alimuacha kabla ya kupata msaada huu
- Naibu Waziri wa Maji Mathew: Aweka Mkazo Kwenye Miradi ya Maji Mbeya na Chunya
- Hafla ya Makabidhiano ya Vitabu vya Fidia vya Mradi wa Chanzo cha Mto Kiwira

