TAARIFA KWA WASOMAJI:
TUMELAZIMIKA KUTUMIA PICHA ZA MAMA NA WATOTO HAWA KWA IDHINI YA MAMA HUYU KUTOKANA NA UMUHIMU WAKE KWA JAMII IKIWA NA LENGO KUIKUMBUSHA JAMII KUJIEPUSHA NA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA UNAOFANYWA DHISI YA AKINA MAMA NA WATOTO HASA IKIZINGATIWA KUWA TUPO KATIKA MAADHISHO YA SIKU 16 YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA