Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Msingi ya Mkapa English Medium ya Jijini Mbeya,wamepinga vikali upandishwaji wa ada kiholela mara dufu kutoka shilingi laki mbili hadi laki nne bila kuwashirikisha wazazi na kudai kuwa kitendo kilichofanywa na Meya na Mkurugenzi wa Jiji hilo ni ubabe
