Mshindi wa tuzo ya Malkia wa Nguvu Zuwena Mohamed almaarufu SHILOLE au SHISHI BABY!! amesema anawahusudu na kuwapenda sana wanaume wa Mkoa wa Mbeya kutokana na kuwa na nguvu kutokana kula chakula chenye nguvu Ugali na Dona.
Shilole amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Mgahawa mpya ya kisasa Jijini Mbeya TEXAS RESTAURANT
#MbeyaYetuTv
Trending
- Kumbe alinitumia kupona maumivu ya kufiwa na mkewe!
- Baada ya kusumbuka sana, nimepata kazi ya Sh4.6 milioni
- Dawa ya mwanaume asiyetaka mlee mtoto pamoja
- Sh43.1 milioni za bet zilivyobadili maisha yangu
- Kwa hakika Single Mothers tunapitia mengi katika mahusiano!
- KADA CCM MBEYA AWAAELEZA WAPINZANI,NCHI YETU HAIHITAJI SIASA ZA HARAKATI, INAHITAJI SERA NA ILAINI
- “Daraja Jipya Itewe Lapongezwa โ Wananchi Wamshukuru Rais Samia, Homera Aisifu TARURA”
- Mamlaka ya Maji Mbeya (Mbeya UWSA) Yajibu Kilio cha Shule ya Tulia, Yakabidhi Tenki la Lita 5000