#MbeyaYetuTv
Wafanyabiashara ndogondogo jijini Mbeya maarufu Wamachinga wamelisusa soko jipya la Mwanjelwa lililojengwa kwa mkopo wa zaidi ya shilingi Bilioni 40 na kuhamia katika hifadhi ya barabara kuu ya Tanzania -Zambia eneo la Kabwe eneo ambalo pia ni hatari kwa usalama wa maisha yao,
Trending
- Beno Malisa Azindua Tawi la Strategies Insurance Mbeya, Akaribisha Wawekezaji
- RC Malisa Afungua Mafunzo ya Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Mbeya
- CRDB YAUNGANA NA JESHI LA POLISI MBEYA KUELEKEA SIKU MAALUM YA POLISI.
- DAS Mbeya: Kipato Kisiharibu Vyanzo vya Maji
- KUMBUKUMBU YA EDWARD NGOYAI LOWASSA
- Wilaya ya Mbeya Yapiga Marufuku Kilimo na Ukataji Miti Kwenye Vyanzo vya Maji
- Tazama muonekano mpya wa Soko la Kariakoo
- TGNP na CARE Waimarisha Elimu ya Tabia Nchi Mbeya

