Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nilikuwa Nikifuatwa na Kivuli Usiku Kila Mara Mpaka Nilipopata Ulinzi wa Kudumu

September 11, 2025

“Polisi Watoka Scotland na Maboresho Mapya”

September 11, 2025

Unataka Mtoto wa Kiume? Njia Hii Imenisaidia

September 11, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nilikuwa Nikifuatwa na Kivuli Usiku Kila Mara Mpaka Nilipopata Ulinzi wa Kudumu
  • “Polisi Watoka Scotland na Maboresho Mapya”
  • Unataka Mtoto wa Kiume? Njia Hii Imenisaidia
  • Dormohamed Issa: “Nitaendeleza Miradi Tuliyoianza kwa Manufaa ya Wananchi” kata ya isanga
  • Dkt. Tulia Azindua Kampeni Isanga, Amnadi DoorMohamed Issah kwa Kishindo
  • Mrembo alivyovunja minyororo ya kiroho iliyozuia kupata mume muda mrefu
  • Nilichukiwa na Kila Mwanamume, Leo Wananipigania Kama Niko Thamani Ya Dhahabu
  • Bwana Afichua Jinsi Wake Wawili Walivyopanga Kumnyang’anya Mali Zote Kimya Kimya
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » DKT. TULIA ATOA SOMO KWENYE MKUTANO WA MABUNGE YA SADC
Video Mpya

DKT. TULIA ATOA SOMO KWENYE MKUTANO WA MABUNGE YA SADC

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJuly 12, 2022No Comments0 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

*DKT. TULIA ATOA SOMO KWENYE MKUTANO WA MABUNGE YA SADC*

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amewaasa Wabunge wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) kuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi zao zinatoa kipaumbele katika upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa wananchi wengi zaidi.

Mhe. Spika ameyasema hayo wakati akichangia Mada kuhusu mwelekeo wa upatikanaji wa nishati ya uhakika, endelevu na inayojitosheleza katika Ukanda wa Kusini mwa Afrika kwenye wa Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF) unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Lilongwe nchini Malawi.

Aidha, amesisitiza kuwa Serikali za nchi wanachama zinapaswa kuzingatia uhalisia wa vyanzo vya upatikanaji wa nishati ya umeme katika nchi husika ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa nishati hiyo katika eneo la kusini mwa Afrika.

“Kama nchi nyingi za SADC bado zipo gizani, ni muhimu kutafuta suluhisho la upatikanaji wa nishati ya umeme kwa kutumia vyanzo vilivyopo ili kuwaondolea wananchi wetu changamoto hiyo.” Alisema Dkt. Tulia

Mhe. Dkt. Tulia aliainisha baadhi ya mikakati ya Serikali ya Tanzania katika kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati ya umeme kuwa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Mwl. Nyerere linalotarajiwa kuzalisha takribani Megawati 2100 pamoja na mradi wa ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia kwenye kina kiferu cha bahari mkoani Lindi.

Katika Mkutano huo, Mhe. Spika ameambatana na Wajumbe wa Jukwaa hilo kutoka Bunge la Tanzania ambao ni Mhe. Selemani Zedi, Mhe. Shally Raymond, Mhe.Hawa Mwaifunga, Mhe. Dkt. Alfred Kimea na Mhe. Haji Kassim.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

“Polisi Watoka Scotland na Maboresho Mapya”

September 11, 2025

Dormohamed Issa: “Nitaendeleza Miradi Tuliyoianza kwa Manufaa ya Wananchi” kata ya isanga

September 10, 2025

Dkt. Tulia Azindua Kampeni Isanga, Amnadi DoorMohamed Issah kwa Kishindo

September 10, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025207

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025124

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025114
Don't Miss
Uncategorized

Nilikuwa Nikifuatwa na Kivuli Usiku Kila Mara Mpaka Nilipopata Ulinzi wa Kudumu

By Mbeya YetuSeptember 11, 20251

Kila usiku nilipozima taa na kujaribu kulala, nilihisi kama macho fulani yananitazama gizani. Mara nyingi…

“Polisi Watoka Scotland na Maboresho Mapya”

September 11, 2025

Unataka Mtoto wa Kiume? Njia Hii Imenisaidia

September 11, 2025

Dormohamed Issa: “Nitaendeleza Miradi Tuliyoianza kwa Manufaa ya Wananchi” kata ya isanga

September 10, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nilikuwa Nikifuatwa na Kivuli Usiku Kila Mara Mpaka Nilipopata Ulinzi wa Kudumu

September 11, 2025

“Polisi Watoka Scotland na Maboresho Mapya”

September 11, 2025

Unataka Mtoto wa Kiume? Njia Hii Imenisaidia

September 11, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025207

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024184

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025124
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.