Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

November 17, 2025

Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto

November 17, 2025

Safari ya Uponyaji Kutoka katika Maumivu ya Hedhi

November 17, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
  • Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto
  • Safari ya Uponyaji Kutoka katika Maumivu ya Hedhi
  • RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri
  • Aondokana na umaskini wa kutupwa baada ya kujua mbinu za betting
  • Nilivyopambana na Baby Mama Aliyenigeuza Mfadhili Pekee Bila Haki, Mpaka Hatimaye Nikaweza Kuwa Karibu na Watoto Wangu Tena
  • VIDEO: ZIARA YA KUSHTUKIZA YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, HOSPITALI YA RUFAA YA DODOMA
  • Kutoka Kupoteza Kazi Hadi Kujiamini Tena Safari Yangu Ya Kurudi Kuwa Mwanaume wa Nyumba
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป UP DATE: – AJALI YAUWA WATU 17 KOROGWE.
Video Mpya

UP DATE: – AJALI YAUWA WATU 17 KOROGWE.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuFebruary 4, 2023No Comments0 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

*BREAKING NEWS*

Ndugu waandishi wa Habari na Ndugu wananchi wa Mkoa Wa Tanga na Tanzanaia kwa ujumla Nimepokea kwa masikitiko makubwa tukio la Ajali Mbaya iliyotokea usiku wa leo.
Ajali hiyo imehusisha Magali mawili na kusababisha Vifo vya watu 17 na Majeruhi 12 Pamoja na Uharibufu mkubwa wa magali hayo..

Ajali ilitokea Tarehe 03/02/2023 Majira ya Saa 4.30 Usiku Eneo la Magira Gereza Kata ya Magira Gereza Tarafa ya Mombo Wilayani Korogwe, Barabara Kuu ya Segera – Buiko.

Magali yaliyohusika na Ajali hiyo ni Gari Na T.673 CUC aina Mitsubish Fuso Ikiendeshwa na Dereva ambaye Jina Lake Halijafamika iligonga na Gari T.863 DXN aina ya Coaster Coaster Iliyokuwa imebeba Mwili wa Marehemu ba Abiria 26 Ikiyokea Dar es Salaam Kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa mazishi.
Ajali hii inasababisha Vifo 17 na Majeruhi 12. Ambao Majina yao wote Hajafahamika. Miili ya Marehemu imehifafhiwa katika Hospital yetu ya Wilaya Ya Korogwe na Majeruhi 10 Wamehamishiwa Hospital ya Mkoa wa Tanga Bombo na Majeruhi 2 wamebaki Hospital ya Korogwe Kwa Matibabu. Chanjo cha Ajali ni Mwendo Kasi na Uzembe wa Dereva wa Gali Na :T.673 CUC M/Fuso Kulipita gali la mbele Bila Ya kuchukua Tahadhari na kugongana Uso kwa uso Gali Na :T.863 DXN T/Coaster

Tukio la Ajali Baada ya kukuguliwa , Magali yote yameshaondolewa barabarani na Saasa Barabara inapitika.

Mgunba T.Omary.

Mkuu wa Mkoa Wa Tanga.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

November 17, 2025

Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto

November 17, 2025

RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri

November 17, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025224

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Video Mpya

DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

By Mbeya YetuNovember 17, 20251

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.

Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto

November 17, 2025

Safari ya Uponyaji Kutoka katika Maumivu ya Hedhi

November 17, 2025

RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri

November 17, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

November 17, 2025

Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto

November 17, 2025

Safari ya Uponyaji Kutoka katika Maumivu ya Hedhi

November 17, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025224

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.