Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

SHIRIKA LA POSTA LATOA ZAWADI ,VYETI KWA WASHINDI WA UANDISHI WA BARUA MBEYA.

October 13, 2025

SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA

October 13, 2025

WIKI YA VIJANA YAPAMBWA NA MPAMBANO, TIMU 8 KUKIPIGA KWENYE BREW MASTER MWENGE NDONDO CUP

October 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • SHIRIKA LA POSTA LATOA ZAWADI ,VYETI KWA WASHINDI WA UANDISHI WA BARUA MBEYA.
  • SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA
  • WIKI YA VIJANA YAPAMBWA NA MPAMBANO, TIMU 8 KUKIPIGA KWENYE BREW MASTER MWENGE NDONDO CUP
  • Ilifikia hatua hadi nikawa namuogopa mume wangu kitandani
  • MAWAZIRI WAIMWAGIA PONGEZI BENKI YA NMB KWA UTENDAJI WAKE.
  • Benki ya NMB yashiriki kwenye ufunguzi wa Wiki ya Vijana inayofanyika Kitaifa Mbeya
  • Nilidhani Wivu wa Majirani Ungehujumu Maisha Yangu, Lakini Hatua Niliyopiga Ilinifanya Niishi kwa Amani na Mafanikio
  • Kampeni za Mguu kwa Mguu za Ipyana Njiku wa CHAUMMA Yazidi Kutikisa Jimbo la Uyole
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atoa agizo WIZARA YA MALIASILI NAKAMISHINA TANAPA KWENDA MARAMOJA MBARALI
Video Mpya

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atoa agizo WIZARA YA MALIASILI NAKAMISHINA TANAPA KWENDA MARAMOJA MBARALI

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMay 11, 2023No Comments0 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri wanaohusika na utatuzi wa migogoro ya mipaka ikiwemo sekta za Ardhi, mifugo na Maliasili kwenda wilayani Mbarali mkoani Mbeya kushughulikia mgogoro unaodaiwa kuibuka hivi karibuni.

Waziri Mkuu Majaliwa ametoa agizo hilo baada ya Mbunge wa Mbarali Francis Mtega kutoa hoja kulitaka bunge kujadili kwa dharula mgogoro kwa taarifa kuwa mmoja wa wafugaji mifugo yake inashikiliwa na amedhamiria kujinyonga na hadi alipowasilisha hoja hiyo alikuwa bado anadhibitiwa na wananchi wanzake asitimize azma hiyo kwa sababu ya mifugo yake kukamatwa na kushikiliwa.

Akitoa majibu ya serikali kufuatia hoja hiyo Waziri Mkuu amewataka Mawaziri wote wa kisekta kwenda kutatua mgogoro huo haraka na kuwasilisha taarifa kamili ofisini kwake kesho saa mbili usiku.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

SHIRIKA LA POSTA LATOA ZAWADI ,VYETI KWA WASHINDI WA UANDISHI WA BARUA MBEYA.

October 13, 2025

SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA

October 13, 2025

WIKI YA VIJANA YAPAMBWA NA MPAMBANO, TIMU 8 KUKIPIGA KWENYE BREW MASTER MWENGE NDONDO CUP

October 13, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025221

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024192

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025168

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025125
Don't Miss
Video Mpya

SHIRIKA LA POSTA LATOA ZAWADI ,VYETI KWA WASHINDI WA UANDISHI WA BARUA MBEYA.

By Mbeya YetuOctober 13, 20250

SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA

October 13, 2025

WIKI YA VIJANA YAPAMBWA NA MPAMBANO, TIMU 8 KUKIPIGA KWENYE BREW MASTER MWENGE NDONDO CUP

October 13, 2025

Ilifikia hatua hadi nikawa namuogopa mume wangu kitandani

October 13, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

SHIRIKA LA POSTA LATOA ZAWADI ,VYETI KWA WASHINDI WA UANDISHI WA BARUA MBEYA.

October 13, 2025

SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA

October 13, 2025

WIKI YA VIJANA YAPAMBWA NA MPAMBANO, TIMU 8 KUKIPIGA KWENYE BREW MASTER MWENGE NDONDO CUP

October 13, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025221

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024192

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025168
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.