Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nilivyofanikiwa Kuacha Kukasirika Haraka na Kuishi Kwa Amani na Watu

November 14, 2025

Nilivyopata Upendo wa Kweli Baada ya Miaka ya Kutumiwa na Kuumizwa

November 14, 2025

Rais Samia Atoa Msamaha kwa Waliojiingiza Kwenye Machafuko Bila Kudhamiria

November 14, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nilivyofanikiwa Kuacha Kukasirika Haraka na Kuishi Kwa Amani na Watu
  • Nilivyopata Upendo wa Kweli Baada ya Miaka ya Kutumiwa na Kuumizwa
  • Rais Samia Atoa Msamaha kwa Waliojiingiza Kwenye Machafuko Bila Kudhamiria
  • Dkt. Samia Amuapisha Dkt. Mwigulu: Tanzania Yapata Waziri Mkuu Mpya
  • Nilivyofanikiwa Kumaliza Migogoro ya Urithi Kati ya Ndugu Bila Kufika Mahakamani
  • Waziri Mkuu Mteule Dk. Mwigulu Aahidi Kazi, Nidhamu na Uwajibikaji
  • Nilivyogundua Sababu ya Kukosa Raha Kila Wakati wa Tendo la Ndoa na Jinsi Nilivyopona Bila Dawa
  • Breaking News!!! Rais Samia Amteua Dkt Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu mpya JMT.
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Ujenzi barabara ya Lupeta-Wimba-Izumbwe kuinua Uchumi wa wananchi Mbeya.
Biashara na Uchumi

Ujenzi barabara ya Lupeta-Wimba-Izumbwe kuinua Uchumi wa wananchi Mbeya.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 12, 2024Updated:January 24, 2024No Comments7 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Ujenzi barabara ya Lupeta-Wimba-Izumbwe kuinua Uchumi wa wananchi Mbeya.

Mbeya

Ujenzi wa barabara ya Lupeta-Wimba -Izumbwe yenye urefu wa Km.9.5 na ile ya Inyala-Simambwe Km. 16.7 kwa kiwango cha lami imelenga kuchochea ukuaji wa uchumi kwa wananchi mkoani Mbeya kwa kurahisisha usafirishaji wa mazao kwa urahisi.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Dennis Londo wakati wa ziara ya kukagua miradi ya elimu na miundombinu ya Barbara mkoani Mbeya.

Mhe. Lundo alisema kuwa kamati hiyo imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja chini ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).

“Kazi kubwa na yenye viwango imefanyika katika elimu na miundombinu katika Halmashauri hii, Miradi hii miwili ya barabara tuliyotembelea ni muhimu kwa uchumi wa Mbeya lakini na Taifa kwa ujumla”Alisema Mhe. Londo

Kwa upande wa uchumi Mhe. Londo alisema barabara hizo zitaeda kurahisisha shughuli za kilimo na kupunguza gharama za pembejeo na uzalishaji kwani gharama za usafirishaji zitapungua, hivyo kumuongezea kipato mkulima mmoja mmoja na kumuondolea umaskini mwananchi.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Rais Samia Atoa Msamaha kwa Waliojiingiza Kwenye Machafuko Bila Kudhamiria

November 14, 2025

Dkt. Samia Amuapisha Dkt. Mwigulu: Tanzania Yapata Waziri Mkuu Mpya

November 14, 2025

Waziri Mkuu Mteule Dk. Mwigulu Aahidi Kazi, Nidhamu na Uwajibikaji

November 13, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025229

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025219

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Uncategorized

Nilivyofanikiwa Kuacha Kukasirika Haraka na Kuishi Kwa Amani na Watu

By Mbeya YetuNovember 14, 20253

Kwa muda mrefu nilijikuta nikikasirika kwa urahisi kila siku. Hata mambo madogo madogo yalinifanya nijisikie…

Nilivyopata Upendo wa Kweli Baada ya Miaka ya Kutumiwa na Kuumizwa

November 14, 2025

Rais Samia Atoa Msamaha kwa Waliojiingiza Kwenye Machafuko Bila Kudhamiria

November 14, 2025

Dkt. Samia Amuapisha Dkt. Mwigulu: Tanzania Yapata Waziri Mkuu Mpya

November 14, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nilivyofanikiwa Kuacha Kukasirika Haraka na Kuishi Kwa Amani na Watu

November 14, 2025

Nilivyopata Upendo wa Kweli Baada ya Miaka ya Kutumiwa na Kuumizwa

November 14, 2025

Rais Samia Atoa Msamaha kwa Waliojiingiza Kwenye Machafuko Bila Kudhamiria

November 14, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025229

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025219

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.