Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!

December 9, 2025

SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU

December 9, 2025

Taarifa nyingine Tena Toka jeshi la polisi

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!
  • SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU
  • Taarifa nyingine Tena Toka jeshi la polisi
  • 2021 11 26 14 36 44
  • SHILINGI BILIONI 6.7 KUTIBU WAGONJWA 760 WASIO NA UWEZO WA KUMUDU GHARAMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA
  • Polepole hisia zilianza kurejea na maisha yalianza upya!
  • Jeshi la Polisi latoa Taarifa muda huu
  • Hali shwari Jiji la Mbeya
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » SIKU YA MISITU NA UPANDAJI MITI KITAIFA KUFANYIKA WILAYANI SAME
Uncategorized

SIKU YA MISITU NA UPANDAJI MITI KITAIFA KUFANYIKA WILAYANI SAME

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 12, 2024No Comments0 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Misitu na Upandaji miti duniani ambayo kitaifa itafanyika Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Same machi 21 mwaka huu. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu akiwa Wilayani Same kwenye ziara ya kukagua eneo litakalofanyika maadhimisho hayo pamoja na kukagua miradi ya maendeleo atakayotembelea Dkt. Mpango akiwa Wilayani humo. Aidha Mkuu huyo wa Mkoa amewataka wakazi wa Same na maeneo ya jirani kutumia vizuri nafasi ya kuwepo tukio kubwa la kitaifa la maadhimisho ya siku ya Misitu na Upandaji Miti kushiriki kikamilifu ikiwemo kwa kupanda miti sehemu ya kuunga mkono kampeni za kitaifa za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.

SIKU YA MISITU NA UPANDAJI MITI KITAIFA KUFANYIKA WILAYANI SAME

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Misitu na Upandaji miti duniani ambayo kitaifa itafanyika Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Same machi 21 mwaka huu.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu akiwa Wilayani Same kwenye ziara ya kukagua eneo litakalofanyika maadhimisho hayo pamoja na kukagua miradi ya maendeleo atakayotembelea Dkt. Mpango akiwa Wilayani humo.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa amewataka wakazi wa Same na maeneo ya jirani kutumia vizuri nafasi ya kuwepo tukio kubwa la kitaifa la maadhimisho ya siku ya Misitu na Upandaji Miti kushiriki kikamilifu ikiwemo kwa kupanda miti sehemu ya kuunga mkono kampeni za kitaifa za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.

Kwaupande wake Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni ameziomba kamati za maandalizi kufika kwa wakati eneo la tukio ili kushirikiana kwa pamoja na watendaji wengine wa Wilaya na Halmashauri sskuhakikisha maandalizi yanakamilika kwa wakati kama ilivyokusudiwa.

Maadhimisho hayo yataanza rasmi Machi 18 kwa kufanya shughuri mbali mbali ndani ya Wilaya ikiwemo utoaji wa elimu ya utunzaji wa mazingira kwa wananchi pamoja na miti inayopaswa kupanda kwenye maeneo yao kulingana na mazingira yake.

 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!

December 9, 2025

Polepole hisia zilianza kurejea na maisha yalianza upya!

December 9, 2025

“Hongera! Umeshinda JACKPOT ya Sh6,800,000”

December 8, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025248

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025130
Don't Miss
Uncategorized

Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!

By Mbeya YetuDecember 9, 20252

Miaka kadhaa nyuma, Ndesa alikuwa kijana mchangamfu na mwenye bidii kutoka Meru, Arusha. Tangu akiwa…

SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU

December 9, 2025

Taarifa nyingine Tena Toka jeshi la polisi

December 9, 2025

2021 11 26 14 36 44

December 9, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Baada ya hapo ndipo akapata kazi kubwa zaidi!

December 9, 2025

SIMBACHAWENE ATEMBEA MITAANI KUANGALIA USALAMA—AWAPA HONGERA WANANCHI KWA UTULIVU

December 9, 2025

Taarifa nyingine Tena Toka jeshi la polisi

December 9, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025248

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024207
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.