Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

KOCHA MEXIME AAHIDI KUREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI MBEYA CITY FC, KUSHUSHA ”VIFAA” DIRISHA DOGO

December 16, 2025

*DKT. MWIGULU AMBANA MKANDARASI UJENZI WA BARABARA YA KITAI-RUANDA*

December 16, 2025

MBEYA UWSA YAONGEZA UFANISI, NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MAGARI YA KISASA

December 16, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • KOCHA MEXIME AAHIDI KUREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI MBEYA CITY FC, KUSHUSHA ”VIFAA” DIRISHA DOGO
  • *DKT. MWIGULU AMBANA MKANDARASI UJENZI WA BARABARA YA KITAI-RUANDA*
  • MBEYA UWSA YAONGEZA UFANISI, NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MAGARI YA KISASA
  • Kila mwanamke mzuri alimuacha kabla ya kupata msaada huu
  • Naibu Waziri wa Maji Mathew: Aweka Mkazo Kwenye Miradi ya Maji Mbeya na Chunya
  • Hafla ya Makabidhiano ya Vitabu vya Fidia vya Mradi wa Chanzo cha Mto Kiwira
  • WAKUTUBI WAKUTANA MBEYA WAJADILI MFUMO BORA WA MAKTABA NA USOMAJI VITABU KIDIJITALI
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA BENNO MALISA AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KULINDA FEDHA ZA UMMA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป POLISI YAWATAKA WANANCHI KUWATAJA WEZI WA MIFUGO ENDASAK.
Uncategorized

POLISI YAWATAKA WANANCHI KUWATAJA WEZI WA MIFUGO ENDASAK.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 13, 2024Updated:March 13, 2024No Comments5 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo huku likiwataka kuwa mstari wa mbele kutoa Ushahidi pindi unapohitajika mahakamani. Hatua hiyo imekuja mara baada ya Kamanda wa kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo Nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Simon Pasua wakati alipofika katika mnada wa Endasak uliopo katika Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara ambapo alisikiliza kero za wananchi ambao wanafanya biashara ya mifugo mnadani hapo juu ya kwepo kwa changamoto ya baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu. Kamanda Pasua amewambia wananchi wa kata ya Katesh kutoa ushirikiano pindi mhalifu anapokamatwa na kufikishwa mahakamani ikiwa ni Pamoja na kutoa Ushahidi ambapo amewaomba wananchi kuwataja wale wote wanaohusika na wale wanaojihusisha na wizi wa mifugo kateshi.

Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Katesh Manyara.

Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo huku likiwataka kuwa mstari wa mbele kutoa Ushahidi pindi unapohitajika mahakamani.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya Kamanda wa kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo Nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Simon Pasua wakati alipofika katika mnada wa Endasak uliopo katika Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara ambapo alisikiliza kero za wananchi ambao wanafanya biashara ya mifugo mnadani hapo juu ya kwepo kwa changamoto ya baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu.

Kamanda Pasua amewambia wananchi wa kata ya Katesh kutoa ushirikiano pindi mhalifu anapokamatwa na kufikishwa mahakamani ikiwa ni Pamoja na kutoa Ushahidi ambapo amewaomba wananchi kuwataja wale wote wanaohusika na wale wanaojihusisha na wizi wa mifugo kateshi.

SACP Pasua amebainisha kuwa zipo haki za mlalamikaji na mtuhumiwa katika kesi za jinai ambapo amewaomba wananchi kutambua endapo watamuona mwananchi aliyetuhumiwa na kesi za wizi wa mifugo akiwa nje watambue amedhaminiwa kwa mujibu wa sheria, huku akitoamsisitizo kwa wananchi kutoa Ushahidi Mahakamani.

Nao baadhi wa Wananchi wanaofanya Biashara ya Mifugo katika mnada wa Endasak licha ya kutoa malalamiko yao kuwepo kwa baadhi ya wanafanya biashara wasio fuata taratibu mnadani hapo wameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kutokomeza uhalifu mnadani hapo.

 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Kila mwanamke mzuri alimuacha kabla ya kupata msaada huu

December 16, 2025

Naibu Waziri wa Maji Mathew: Aweka Mkazo Kwenye Miradi ya Maji Mbeya na Chunya

December 16, 2025

Suzi alivyomrejesha mpenzi wake na wakafunga ndoa

December 15, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025260

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025235

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024208

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025130
Don't Miss
Video Mpya

KOCHA MEXIME AAHIDI KUREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI MBEYA CITY FC, KUSHUSHA ”VIFAA” DIRISHA DOGO

By Mbeya YetuDecember 16, 20251

#mbeyayetutv

*DKT. MWIGULU AMBANA MKANDARASI UJENZI WA BARABARA YA KITAI-RUANDA*

December 16, 2025

MBEYA UWSA YAONGEZA UFANISI, NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MAGARI YA KISASA

December 16, 2025

Kila mwanamke mzuri alimuacha kabla ya kupata msaada huu

December 16, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

KOCHA MEXIME AAHIDI KUREJESHA FURAHA KWA MASHABIKI MBEYA CITY FC, KUSHUSHA ”VIFAA” DIRISHA DOGO

December 16, 2025

*DKT. MWIGULU AMBANA MKANDARASI UJENZI WA BARABARA YA KITAI-RUANDA*

December 16, 2025

MBEYA UWSA YAONGEZA UFANISI, NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MAGARI YA KISASA

December 16, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025260

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025235

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024208
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.