Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MTARO ULIOFUKIWA MTAA WA LUMBILA IWAMBI MBEYA WAFURIKA MAJI YA MVUA NA KUIBUA KIZAAZAA KWA WANANCHI

December 14, 2025

Mauzo yalianza kuongezeka, wateja wakawa wakudumu!

December 14, 2025

Mtoto wa Jenista Mhagama Aibua Hisia Kali, Asema Mama Yake Hana Deni

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • MTARO ULIOFUKIWA MTAA WA LUMBILA IWAMBI MBEYA WAFURIKA MAJI YA MVUA NA KUIBUA KIZAAZAA KWA WANANCHI
  • Mauzo yalianza kuongezeka, wateja wakawa wakudumu!
  • Mtoto wa Jenista Mhagama Aibua Hisia Kali, Asema Mama Yake Hana Deni
  • RAIS SAMIA KWA UCHUNGU MSIBANI – ”TUTALIMISI TABASAMU LAKE –
  • MADEREVA BODABODA MKOANI IRINGA WALAANI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI.
  • MAHAFALI YA 23 YA TAASISI YA UHASIBU TIA KAMPASI YA MBEYA, RC MALISA AWAALIKA WAWEKEZAJI MKOANI MBEYA.
  • Ilinde biashara dhidi ya husda na mikosi
  • Fanya hivi kuvutia fursa mpya za kazi
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป MAHUNDI AAGIZA WANANCHI WALIOPO JIRANI NA CHANZO CHA MAJI IGONGWI KUPEWA KIPAUMBELE
Uncategorized

MAHUNDI AAGIZA WANANCHI WALIOPO JIRANI NA CHANZO CHA MAJI IGONGWI KUPEWA KIPAUMBELE

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 16, 2024No Comments30 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amemtaka Meneja wa RUWASA Mkoa wa Njombe Mhandisi. Sadick Chakka, kuhakikisha anasimamia wananchi ambao wapo jirani na chanzo cha maji cha Igongwi kilichopo Mkoani humo, wawe wa kwanza kupata huduma ya maji kabla haijafika maeneo mengine yaliyopangwa. Kadhalika ametoa maagizo kwamba mradi huo ukamilike kabla ya tarehe 30 Juni, 2024 ili wananchi waweze kupata huduma ya maji safi na salama.
Mahundi ameyasema hayo leo Machi 15, 2024,akiwa Mkoani Njombe kwenye muendelezo wa ziara na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji.
“Utekelezaji wa kipande hiki kwa sehemu kubwa umekamilika lakini hakijaanza kutoa huduma kutokana na wananchi wa Kijiji cha Luvuyo kuzuia maji kwenda kwenye vijiji vya Kitulila, Madobole, Luponde na Njoomlole,

ATAKA MRADI HUO KUKAMILIA KABLA YA TAREHE 30 JUNI, 2024

NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amemtaka Meneja wa RUWASA Mkoa wa Njombe Mhandisi. Sadick Chakka, kuhakikisha anasimamia wananchi ambao wapo jirani na chanzo cha maji cha Igongwi kilichopo Mkoani humo, wawe wa kwanza kupata huduma ya maji kabla haijafika maeneo mengine yaliyopangwa.

Kadhalika ametoa maagizo kwamba mradi huo ukamilike kabla ya tarehe 30 Juni, 2024 ili wananchi waweze kupata huduma ya maji safi na salama.

Mahundi ameyasema hayo leo Machi 15, 2024,akiwa Mkoani Njombe kwenye muendelezo wa ziara na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji.

“Utekelezaji wa kipande hiki kwa sehemu kubwa umekamilika lakini hakijaanza kutoa huduma kutokana na wananchi wa Kijiji cha Luvuyo kuzuia maji kwenda kwenye vijiji vya Kitulila, Madobole, Luponde na Njoomlole,

“Wananchi hawa wamezuia ukamilishaji wa kipande hiki hadi hapo ujenzi wa mradi kwenye Kijiji chao utakapo kamiliaka hivyo fanyeni mhakikishe wao wanakuwa wa kwanza kupata huduma kabla hamjapeleka maeneo mengine” amesema Mhandisi Mahundi

Amesema Mradi huo unatekelezwa katika vipande ambapo kukamilika kwake kunatarajia kunufaisha wananchi wapatao 10,034.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe.Jackson Kiswaga ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi maji

Ikumbukwe kuwa mradi huo unatekelezwa kwa kutumia wataalam wa ndani kwa gharama ya Shilingi bilioni 1.15. Kwa sasa utekelezaji wa mradi huo umefikia wastani wa asilimia 71 na unatarajiwa kukamilika mwezi Juni, 2024.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Mauzo yalianza kuongezeka, wateja wakawa wakudumu!

December 14, 2025

Ilinde biashara dhidi ya husda na mikosi

December 12, 2025

Fanya hivi kuvutia fursa mpya za kazi

December 12, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025253

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025235

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024208

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025130
Don't Miss
Video Mpya

MTARO ULIOFUKIWA MTAA WA LUMBILA IWAMBI MBEYA WAFURIKA MAJI YA MVUA NA KUIBUA KIZAAZAA KWA WANANCHI

By Mbeya YetuDecember 14, 20250

#mbeyayetutv

Mauzo yalianza kuongezeka, wateja wakawa wakudumu!

December 14, 2025

Mtoto wa Jenista Mhagama Aibua Hisia Kali, Asema Mama Yake Hana Deni

December 13, 2025

RAIS SAMIA KWA UCHUNGU MSIBANI – ”TUTALIMISI TABASAMU LAKE –

December 13, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

MTARO ULIOFUKIWA MTAA WA LUMBILA IWAMBI MBEYA WAFURIKA MAJI YA MVUA NA KUIBUA KIZAAZAA KWA WANANCHI

December 14, 2025

Mauzo yalianza kuongezeka, wateja wakawa wakudumu!

December 14, 2025

Mtoto wa Jenista Mhagama Aibua Hisia Kali, Asema Mama Yake Hana Deni

December 13, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025253

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025235

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024208
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.