Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Tulikaa Ndoa Bila Amani Mazungumzo Moja Yalibadili Mwelekeo Wetu

December 22, 2025

Maumivu ya Ghafla Yalinifanya Nidhani Ni Mwisho, Baadaye Nikagundua Mawe ya Figo Yanatibika Kwa Mitishamba

December 22, 2025

Tazama alichoimba Dkt. Tulia Ackson Atoa sadaka kwa kaya 13 zisizo na uwezo kata ya Ilemi

December 22, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Tulikaa Ndoa Bila Amani Mazungumzo Moja Yalibadili Mwelekeo Wetu
  • Maumivu ya Ghafla Yalinifanya Nidhani Ni Mwisho, Baadaye Nikagundua Mawe ya Figo Yanatibika Kwa Mitishamba
  • Tazama alichoimba Dkt. Tulia Ackson Atoa sadaka kwa kaya 13 zisizo na uwezo kata ya Ilemi
  • WANA KIKUNDI STAR FAMILY MBEYA WALIVYOMALIZA MWAKA KWA KUTOA SADAKA KWA WATOTO YATIMA
  • TUKIO ZIMA KUAGWA KATIBU MUHTASI CCM MBEYA MJII I BAADA YA KUSTAAFU,DKT TULIA/MWALUNENGE WASAPOTI
  • Uzito Ulionekana Kunizidi Nguvu Hatua Moja Baada ya Nyingine Zilileta Mabadiliko
  • DKT. TULIA ACKSON AANZA ZOEZI LA KUWAFIKIA KAYA ZENYE UHITAJI ZAIDI UYOLE, KAYA 130 ZANUFAIKA KUELEKEA SIKUKUU
  • Nilijeruhiwa na Maneno ya Niliyekuwa Ninamwamini Safari ya Kujiponya Ilinisaidia Kuamua Hatua Ijayo
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป BAADHI YA WATENDAJI KATA NA VIJIJI WALALAMIKIWA KUTOKUSOMA MAPATO NA MATUMIZI.
Uncategorized

BAADHI YA WATENDAJI KATA NA VIJIJI WALALAMIKIWA KUTOKUSOMA MAPATO NA MATUMIZI.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 26, 2024Updated:March 26, 2024No Comments12 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Baadhi ya watendaji ngazi ya Kata na kijiji Tarafa ya Ilongo wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya wamekuwa wakilalamikiwa na wananchi kwa kutokutekeleza majukumu yao ipasavyo ikiwemo kutokusoma taarifa ya mapato na matumizi ya kila baada ya miezi mitatu.Hayo yamebainishwa na afisa tarafa hiyo Bi Magdalena Sikwese alipokuwa kwenye kikao cha kiutendaji amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi wakilalamikia baadhi ya watendaji hawaweki wazi mapato ya vijiji kwa kuitisha mikutano na kueleza mapato yametumikaje.
Watendaji wa vijiji tunalala kwenye Maeneo yetu,tunasahau wajibu wetu wa kusoma Mapato na matumizi mpaka Wananchi wanalalamika sana mnatakiwa msome Mapato na matumizi Yani tekelezeni majukumu yenu ipasavyo ili kuamsha Hali kwa wananchi kuchangamkia fursa za kuleta maendeleo ya vijiji.”

Baadhi ya watendaji ngazi ya Kata na kijiji Tarafa ya Ilongo wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya wamekuwa wakilalamikiwa na wananchi kwa kutokutekeleza majukumu yao ipasavyo ikiwemo kutokusoma taarifa ya mapato na matumizi ya kila baada ya miezi mitatu.

Hayo yamebainishwa na afisa tarafa hiyo Bi Magdalena Sikwese alipokuwa kwenye kikao cha kiutendaji amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi wakilalamikia baadhi ya watendaji hawaweki wazi mapato ya vijiji kwa kuitisha mikutano na kueleza mapato yametumikaje.

Bi Magdalena amesema baadhi ya watumishi wakifika Maeneo Yao ya kazi hasa vijijini wanajisahau kama ni watumishi na kuanza kufanya kazi kwa mazoea kulingana na mazingira

“Watendaji wa vijiji tunalala kwenye Maeneo yetu,tunasahau wajibu wetu wa kusoma Mapato na matumizi mpaka Wananchi wanalalamika sana mnatakiwa msome Mapato na matumizi Yani tekelezeni majukumu yenu ipasavyo ili kuamsha Hali kwa wananchi kuchangamkia fursa za kuleta maendeleo ya vijiji.”

Katika hatua nyingine afisa Tarafa huyo amewakumbusha watendaji kuwa wapo kwenye vijiji na Kata kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania ,hivyo wanapaswa kuwajibika ili ifikapo mwaka 2025 wa uchaguzi aliyewapa dhamana aweze kushindwa kwa kishindo baada ya wananchi kuridhika na utendaji wao kazi.

‘tutimize wajibu wetu Ili mwaka 2025 aliyetutuma tumuwakilishe na tumsaidie kazi kwa wananchi aweze kushindwla kwa kishindo,tutatue kero za wananchi ,tusome Mapato na matumizi na mikutano ya hadharani ifanyike mara kwa mara.

Baadhi ya wananchi wameiomba serikali kutoa muongozo wa matumizi ya mapato ya vijijini ili kuweza kudhibiti ubadhirifu.

“Emmanuel mwaisabila amesema maendeleo ya Kijiji hayawezi kuja kama viongozi wetu hawatokuwa na utaratibu wa kusoma Mapato na matumizi,hivyo tunawaomba wajenge utaratibu wa kutoa taarifa za Mapato na matumizi pamoja na miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Maeneo yetu.

Kwa upande wao baadhi ya watendaji baada ya kikao cha kiutendaji kazi wameahidi kwenda kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma na kutekeleza majukumu yao kwa weredi.

“Sophia Bernad mtendaji Kata ya utengule Usangu amesema Tutakwenda kutimiza wajibu wetu na kufanya kazi kwa bidii, kutatua kero ya mtu mmoja mmoja na kubuni miradi mbalimbali itakayokwemda kuleta maendeleo kwenye Maeneo yetu ya kazi.

 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Tulikaa Ndoa Bila Amani Mazungumzo Moja Yalibadili Mwelekeo Wetu

December 22, 2025

Maumivu ya Ghafla Yalinifanya Nidhani Ni Mwisho, Baadaye Nikagundua Mawe ya Figo Yanatibika Kwa Mitishamba

December 22, 2025

Uzito Ulionekana Kunizidi Nguvu Hatua Moja Baada ya Nyingine Zilileta Mabadiliko

December 21, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025268

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025237

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024211

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025131
Don't Miss
Uncategorized

Tulikaa Ndoa Bila Amani Mazungumzo Moja Yalibadili Mwelekeo Wetu

By Mbeya YetuDecember 22, 20251

Kwa muda mrefu tuliishi kama watu wawili ndani ya nyumba moja. Hakukuwa na ugomvi mkubwa,…

Maumivu ya Ghafla Yalinifanya Nidhani Ni Mwisho, Baadaye Nikagundua Mawe ya Figo Yanatibika Kwa Mitishamba

December 22, 2025

Tazama alichoimba Dkt. Tulia Ackson Atoa sadaka kwa kaya 13 zisizo na uwezo kata ya Ilemi

December 22, 2025

WANA KIKUNDI STAR FAMILY MBEYA WALIVYOMALIZA MWAKA KWA KUTOA SADAKA KWA WATOTO YATIMA

December 22, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Tulikaa Ndoa Bila Amani Mazungumzo Moja Yalibadili Mwelekeo Wetu

December 22, 2025

Maumivu ya Ghafla Yalinifanya Nidhani Ni Mwisho, Baadaye Nikagundua Mawe ya Figo Yanatibika Kwa Mitishamba

December 22, 2025

Tazama alichoimba Dkt. Tulia Ackson Atoa sadaka kwa kaya 13 zisizo na uwezo kata ya Ilemi

December 22, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025268

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025237

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024211
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.