Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA

January 13, 2026

Baada ya Miaka ya Kutokuwa na Hisia Kitandani, Hatimaye Nilipata Suluhisho la Kudumu

January 13, 2026

Siri Zilizofichika Ambazo Wafanyabiashara Walioshikilia Mafanikio Hutumia Kukuza Biashara Yao

January 13, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA
  • Baada ya Miaka ya Kutokuwa na Hisia Kitandani, Hatimaye Nilipata Suluhisho la Kudumu
  • Siri Zilizofichika Ambazo Wafanyabiashara Walioshikilia Mafanikio Hutumia Kukuza Biashara Yao
  • Nyuki Wazingira Nyumba yake Kisa Mume wa Mtu, Majirani Wadai Sio Tukio la Kawaida
  • Harusi Yasimamishwa Baada ya Mama Mkwe Kupiga Mayowe Kanisani Sababu Yake Yakaa Siri kwa Saa 24
  • Kila Mara Nilipopata Pesa, Zilikuwa Zikitoweka Nilibaini Sababu Baada ya Miezi Kadhaa
  • Usiku Mmoja Urithi Wangu Mkubwa Ulipotea Na Niligundua Majirani Walikuwa Wakiandaa Uchawi Dhidi Yangu
  • Nilivyogundua Siri Ya Kuweka Bahati Yangu Kwenye Biashara Niliyoianza Kutokuwa Na Kila Kitu
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป Taasisi ya Tulia Trust Yatoa msaada wa vyombo vya kuhubiria Msikiti wa Masjid Bi Fatma Mbeya
Video Mpya

Taasisi ya Tulia Trust Yatoa msaada wa vyombo vya kuhubiria Msikiti wa Masjid Bi Fatma Mbeya

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 29, 2024No Comments2 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson imetoa msaada wa vyombo vya kuhubiria Msikiti wa Masjid Bi Fatma Nzovwe Jijini Mbeya.
Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Dkt Tulia Ackson Afisa Habari wa Taasisi hiyo Joshua Mwakanolo amesema lengo ni kutekeleza ombi la Msikiti huo kwa Mbunge ambapo waliomba vipaza sauti kwa ajili ya ibada.

Kwa niaba ya Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya msemaji wake Shekhe Ibrahim Bombo mbali ya kushukuru amewaomba waumini kumuombea dua ya heri huku akitaka vyombo hivyo vitunzwe kwa uangalifu.

Naye Hemed Kipengele kwa niaba ya Waumini ametoa neno la shukurani akimshukuru Mbunge kwa kutoa vifaa hivyo bila kujali itikadi za Kidini.

Aidha Justin Kayuni Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ndanyela ameipongeza Taasisi ya Tulia Trust kwa kutoa vifaa hivyo kwani vitasaidia kueneza neno la Mungu.

Hatimaye Abdalah Yundu Shekhe Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ameongoza dua ya kumuombea Dkt Tulia Ackson katika kazi zake za kila siku.

Dkt Tulia amekuwa akitoa misaada mbalimbali bila kujali itikadi za Kidini na Kisiasa ambapo hivi karibuni amefanikisha ujenzi wa Misikiti ya Tukuyu Mjini,Kiwira Wilayani Rungwe na Uyole Jijini Mbeya.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA

January 13, 2026

Salama za Rambirambi kwenye Msiba wa Dada yake MNEC Ndele Mwaselela jijini Mbeya

January 10, 2026

Child Support Tanzania Yashirikiana na Madiwani Kuimarisha Elimu Jumuishi Mbeya

January 8, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025299

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025242

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024214

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025135
Don't Miss
Video Mpya

MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA

By Mbeya YetuJanuary 13, 20260

Baada ya Miaka ya Kutokuwa na Hisia Kitandani, Hatimaye Nilipata Suluhisho la Kudumu

January 13, 2026

Siri Zilizofichika Ambazo Wafanyabiashara Walioshikilia Mafanikio Hutumia Kukuza Biashara Yao

January 13, 2026

Nyuki Wazingira Nyumba yake Kisa Mume wa Mtu, Majirani Wadai Sio Tukio la Kawaida

January 12, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA

January 13, 2026

Baada ya Miaka ya Kutokuwa na Hisia Kitandani, Hatimaye Nilipata Suluhisho la Kudumu

January 13, 2026

Siri Zilizofichika Ambazo Wafanyabiashara Walioshikilia Mafanikio Hutumia Kukuza Biashara Yao

January 13, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025299

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025242

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024214
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.