Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Safari ya kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa Zuhura iliyofanikiwa

November 19, 2025

Kutoka kusota hadi usukani wenye utajiri

November 18, 2025

Ikulu Dodoma: Rais Samia Azungumza na Mawaziri Baada ya Kuwaapisha

November 18, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Safari ya kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa Zuhura iliyofanikiwa
  • Kutoka kusota hadi usukani wenye utajiri
  • Ikulu Dodoma: Rais Samia Azungumza na Mawaziri Baada ya Kuwaapisha
  • Alivyokabiliana na changamoto ya ukosefu wa hamu ya tendo hadi kuishinda
  • DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
  • Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto
  • Safari ya Uponyaji Kutoka katika Maumivu ya Hedhi
  • RAIS SAMIA atangaza Baraza lake jipya la mawaziri
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » DKT. NDUGULILE AMETUACHIA SIMANZI KUBWA“ – DKT. TULIA
Video Mpya

DKT. NDUGULILE AMETUACHIA SIMANZI KUBWA“ – DKT. TULIA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuNovember 27, 2024No Comments0 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kifo cha Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya taifa.

Akizungumza mara baada ya kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mtaa wa Uzunguni A, Jijini Mbeya leo tarehe 27 Novemba, 2024, Dkt. Tulia amesema kuwa nyota ya Dkt. Ndugulile imezimika wakati akiwa ameanza kung’ara katika anga za kimataifa. Alikuwa aanze rasmi majukumu yake mapya ya kimataifa mwezi Machi mwaka 2025.

Dkt. Tulia amesema kuwa Bunge limepoteza Mbunge mahiri ambaye pia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI. Mchango wake uliwezesha kufanikisha mabadiliko makubwa ya sheria na sera katika sekta za afya na mapambano dhidi ya UKIMWI.

Aidha, amewataka Wananchi wa Kigamboni kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho wamempoteza Mbunge wao na kumuombea apumzike kwa amani.

Dkt. Ndugulile amefarikidunia usiku wa kuamkia leo nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Ikulu Dodoma: Rais Samia Azungumza na Mawaziri Baada ya Kuwaapisha

November 18, 2025

DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

November 17, 2025

Dkt. Tulia Aingia Uyole Kwa Kasi ya Moto: Afufua Makazi ya Mzee Aliyepata Janga la Moto

November 17, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025226

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Uncategorized

Safari ya kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa Zuhura iliyofanikiwa

By Mbeya YetuNovember 19, 20251

Kutana na Zuhura, mwanamke mrembo mwenye tabasamu la kupendeza, mzaliwa na mkazi wa Kanda ya…

Kutoka kusota hadi usukani wenye utajiri

November 18, 2025

Ikulu Dodoma: Rais Samia Azungumza na Mawaziri Baada ya Kuwaapisha

November 18, 2025

Alivyokabiliana na changamoto ya ukosefu wa hamu ya tendo hadi kuishinda

November 18, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Safari ya kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa Zuhura iliyofanikiwa

November 19, 2025

Kutoka kusota hadi usukani wenye utajiri

November 18, 2025

Ikulu Dodoma: Rais Samia Azungumza na Mawaziri Baada ya Kuwaapisha

November 18, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025226

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.