Mmiliki wa Kampuni ya G & I, Selemani Kaniki, ameeleza jinsi alivyozingatia sheria zote za serikali katika shughuli za uchimbaji madini katika kijiji cha Ifumbo, kata ya Ifumbo, wilayani Chunya, mkoani Mbeya, kabla ya kuvamiwa na wananchi waliotekeleza vurugu, kuchoma mali zake moto, na kupora fedha alizoandaa kwa ajili ya kulipa wafanyakazi wake.
Trending
- Baada ya kuijua Nyota yangu ndipo nikafanikiwa haraka maishani
- SIKU NMB MASTABATA ILIVYOWAPIGISHA SHOPPING YA KIBABE WATEJA WAKE MBEYA
- Naibu Waziri Mahundi Aongoza Sherehe ya WAWATA, Mbeya
- RC. Homera: Endeleeni kukiamini chama Cha Mapinduzi kitawaletea Mambo mengi
- “RC Homera: Tuwatafute Popote Walipo Watu Wenye Ulemavu, Tuwape Mikopo”
- MAHUNDI ACHANGIA 2M KIKUNDI CHA IVIMA MAKONGOROSI CHUNYA
- Naota nanyongwa na rafiki zangu, nikiamka nimewasahau!
- WAKAZI MTAA WA KATI SOWETO MBEYA WAINGIA MTAANI WAJITENGENEZEA BARABARA ILIYOHARIBIWA NA MVUA