Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

PART-2: MTANZANIA AISHIYE ULAYA AELEZEA KAZI NA MAISHA YAKE UGHAIBUNI AENDELEZA UANDISHI WA VITABU

November 25, 2025

Kijana Songwe Amwaga Ujumbe Mzito: “Viongozi Msimfiche Ukweli Rais Samia”

November 25, 2025

DKT. MWIGULU: TANZANIA NI MALI YETU SOTE, SI MALI YA SERIKALI WALA CHAMA CHA SIASA

November 25, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • PART-2: MTANZANIA AISHIYE ULAYA AELEZEA KAZI NA MAISHA YAKE UGHAIBUNI AENDELEZA UANDISHI WA VITABU
  • Kijana Songwe Amwaga Ujumbe Mzito: “Viongozi Msimfiche Ukweli Rais Samia”
  • DKT. MWIGULU: TANZANIA NI MALI YETU SOTE, SI MALI YA SERIKALI WALA CHAMA CHA SIASA
  • Tiba kwa wanawake wanaokosa hamu ya tendo la ndoa
  • Waziri Mkuu Ajibu Maswali Mazito Toka kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari
  • WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE
  • Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi
  • Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » BASHUNGWA AINGIA MTAANI KUJIONEA POLISI ILIVYOIMARISHA USALAMA MKUTANO WA NISHATI – DAR
Habari za Kitaifa

BASHUNGWA AINGIA MTAANI KUJIONEA POLISI ILIVYOIMARISHA USALAMA MKUTANO WA NISHATI – DAR

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 28, 2025No Comments1 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ukiendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere.

Bashungwa wakati akipita katika maeneo ya Jiji hilo, leo tarehe 28 Januari 2025, amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP. Camillus Wambura kwa kuendelea kushirikiana na Vyombo vingine vya Serikali kuimarisha usalama katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaofanyika tarehe 27 na 28 Januari 2025.

“Watanzania wameona nchini yetu ipo imara, tunamshukuru Rais na Amri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyoendelea kuwezesha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuwa timamu muda wote kwa kukabiliana na jambo lolote na lenye ukubwa wowote” amesema Bashungwa.

Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inajivunia kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi nchini pamoja na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama ambapo kwa pamoja wameendelea kuimarisha amani na utulivu nchini.

“Nikipita kila mahali ninawiwa nisimame kila Afisa na Askari nimpe pongezi, hata Watanzania wametoa pongezi nyingi sana. Mmetoa taswira nzuri kwa Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama” amesema Bashungwa

Kwa Upande wake, Mkuu wa Operesheni za kipolisi, DCP. Mihayo K. Msikhela amesema Jeshi la Polisi linaendelea kuimarisha usalama katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ambapo maeneo yote usalama umeimarisha.

Mkutano huo wa Wakuu wa Nchi umewakutanisha Marais wa Nchi za Afrika 24, wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika 21, Wakuu wa Taasisi za Kimataifa sita (6), Washirika wa Maendeleo watano (5) pamoja na washiriki wengine wa ndani na nje ya Tanzania 2,600.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

DKT. MWIGULU: TANZANIA NI MALI YETU SOTE, SI MALI YA SERIKALI WALA CHAMA CHA SIASA

November 25, 2025

WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE

November 25, 2025

RUNGWE WAINGIA MKATABA WA BILLIONI 1.8 NA KAMPUNI YA KAGWA GENERAL SUPPLIES LIMITED KUJENGA SOKO LA NDIZI LA KISASA

November 22, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025234

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024201

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Video Mpya

PART-2: MTANZANIA AISHIYE ULAYA AELEZEA KAZI NA MAISHA YAKE UGHAIBUNI AENDELEZA UANDISHI WA VITABU

By Mbeya YetuNovember 25, 20253

#mbeyayetutv

Kijana Songwe Amwaga Ujumbe Mzito: “Viongozi Msimfiche Ukweli Rais Samia”

November 25, 2025

DKT. MWIGULU: TANZANIA NI MALI YETU SOTE, SI MALI YA SERIKALI WALA CHAMA CHA SIASA

November 25, 2025

Tiba kwa wanawake wanaokosa hamu ya tendo la ndoa

November 25, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

PART-2: MTANZANIA AISHIYE ULAYA AELEZEA KAZI NA MAISHA YAKE UGHAIBUNI AENDELEZA UANDISHI WA VITABU

November 25, 2025

Kijana Songwe Amwaga Ujumbe Mzito: “Viongozi Msimfiche Ukweli Rais Samia”

November 25, 2025

DKT. MWIGULU: TANZANIA NI MALI YETU SOTE, SI MALI YA SERIKALI WALA CHAMA CHA SIASA

November 25, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025234

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024201
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.