Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya

February 16, 2026

TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA

February 16, 2026

AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI

February 15, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya
  • TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA
  • AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI
  • SHEIKH WA MKOA MBEYA ATOA UJUMBE KWA WAISLAMU KUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
  • EFTA YACHOCHEA UCHUMI KWA HATI FUNGANI YA BILIONI 50
  • Kanisa la Moravian Tanzania Lamkabidhi Yona Sonelo Tuzo Maalum Baada ya Shahada ya Heshima Australia
  • Beno Malisa Azindua Tawi la Strategies Insurance Mbeya, Akaribisha Wawekezaji
  • RC Malisa Afungua Mafunzo ya Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Mbeya
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Nimepata kazi ya ndoto zangu kwa njia hii rahisi ajabu!
Matukio ya Kijamii

Nimepata kazi ya ndoto zangu kwa njia hii rahisi ajabu!

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 29, 2025No Comments3 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Kuna jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja kuwa rahisi ajabu kiasi kwamba unashangaa nini hiki kimenitendekea.

Ndivyo ilivyokuwa kwangu wakati natafuta kazi ya ndoto zangu ambayo nimeisomea hadi Chuo Kikuu. Jina langu Zurimami, nimesomea taaluma ya Rasilimalia Watu (HR), ilikuwa ndoto yangu kufanya hivyo.

Baada ya kumaliza Chuo tu hivi nilishauriwa na baadhi ya watu kuwa nitafute moja ya Ofisi mjini niombe kazi niwe najitolea bila malipo ili kupata uzoefu maana waajiri wengi hupenda kuajiri wafanyakazi wenye uzoefu.

Nilikubaliana na ushauri wao na kuanza kuitafuta nafasi hiyo, nakumbuka dada yangu, Ney ndiye alipambana kwa kwa kipindi kifupi tu nikawa nimepata ofisi moja ambayo walisema watakuwa wananipa nauli tu kila mwisho wa wiki.

Kwangu hiyo ilikuwa haina shida kwani mimi ndio niliyeomba kujitolea ili kupata uzoefu, ama kwa hakina naweza kusema uthubutu wako ndio mafanikio yako.

Huwezi kuamini ndani ya wiki mbili katika ofisi ile niliweza kupata kazi ofisi nyingine na mshahara ulikuwa ni mkubwa sana.

Kilichotokea ni kwamba wakati nikisoma magazeti yaliyokuwa yanaletwa pale ofisini niliweza kuona tangazo la Dr Bokko kuwa amekuwa akisaidia watu kupata kazi.

Nilichukua hatua ya kuwasiliana naye kupitia namba yake, +255618536050, nilimwambia nimemaliza Chuo Kikuu hivyo nahitaji kazi nzuri na ya mshahara mzuri.

Alinihakikisha ndani ya siku chache nitaweza kupata kazi ya ndoto zangu, nijiandae kabisa kwa hatua kubwa maishani.

Baada ya siku mbili dada yangu Ney alirejea nyumbani na kuniambia kuwa kuna kazi ambayo ipo katika ofisi fulani niende tu kuianza kwani tayari kashaniandikisha kila kitu.

Niliona kama ni ndoto maana ilikuwa ni ndani ya mwezi mmoja tangu nimalize Chuo, niliaga ile ofisi ya mwanzo na kwenda ofisi yangu mpya ambayo hadi sasa ndio nafanya kazi hapo ukiwa ni mwaka wa nne tangu kuajiriwa kwangu.

Namshukuru sana Dr Bokko kwani maisha yangu na familia yangu wamebadilika sana.

Hadi nimekumbuka ule usemi usemao kuwa; katika maisha isiweke ugumu sehemu isiyo na ugumu. Tafuta njia yako kufanikisha mambo yako kwa urahisi zaidi bila kujali watu wanasema nini.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot

August 29, 2025

Spika wa Bunge la Tanzania aongoza Waombolezaji kutoa Rambirambi kwa Kifo cha Katibu wa Bunge la Zambia

April 8, 2025

Wezi waliopora Sh16 milioni dukani wazingira na nyuki mikononi!

February 20, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025347

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025252

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024230

Vijana Wamchana Waziri wa Vijana, ”Si Wananchi, Ila Watumishi Ndio Watakaoniangusha”

December 1, 2025140
Don't Miss
Video Mpya

Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya

By Mbeya YetuFebruary 16, 20262

ZAIDI ya kaya 200 zimepata madhara ya kukosa makazi baada ya nyumba zao kuezuliwa na nyingine kubomoka kufuatia mvua kubwa zilizoambatana na upepo mkali zinazoendelea kunyesha katika Nyanda za Juu Kusini.

Mbali na makazi kuharibika, vyakula na mavazi pia vimeathirika baada ya maji kujaa kwenye nyumba na mali nyingi kufunikwa na tope.

Uharibifu huo umeripotiwa katika kata sita, ambazo ni Iganzo, Isanga, Karobe, Iyunga, Nzovwe na Iwambi, wakati wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, aliyefika kujionea hali halisi ya wananchi walioathirika.

Baadhi ya wakazi wamesema chanzo kikubwa cha mafuriko hayo ni mifereji kuziba, hali iliyosababisha maji kuingia moja kwa moja kwenye makazi yao.

Licha ya uharibifu mkubwa wa mali na makazi, hakuna madhara ya kibinadamu yaliyoripotiwa hadi sasa.

TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA

February 16, 2026

AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI

February 15, 2026

SHEIKH WA MKOA MBEYA ATOA UJUMBE KWA WAISLAMU KUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

February 15, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya

February 16, 2026

TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA

February 16, 2026

AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI

February 15, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025347

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025252

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024230
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.