Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji katika ibada ya Mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. David Cleopa Msuya, ibada iliyofanyika Kanisa la KKKT Usharika wa Usangi Kivindu Dayosisi ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro jana Jumanne Mei 13,2025.
Trending
- WANAFUNZI WAFUNGWA WA GEREZA LA RUANDA MBEYA WAHITIMU MAFUNZO CHUO CHA UFUNDI MAGEREZA
- WAKAZI KATA YA MAJENGO MBEYA WATANGAZA MITANO TENA KWA DIWANI WAO MAULIDI JAMADARI
- MAMLAKA MAJI MBEYA YABAINI WIZI MKUBWA WA MAJI ENEO LA MAGEREJINI SOWETO MFUMO WA MITA WAHUJUMIWA
- T/PRISON YAICHIMBA MKWARA YANGA,MBEYA HAICHOMOKI INAHITAJI ALAMA 3 KUJIKWAMUA KUSHUKA
- Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wampa Heshima Meya Mbeya Kata ya Isanga
- MAKALA MAALUMU: “Utekelezaji wa Miaka Mitano: Kazi, Matendo na Mafanikio ya Mhe. Mahundi”
- VIJANA CCM MBEYA DC WAJIPANGA KUPIGA KURA OKTOBA 2025.
- “Kasi Yaongezeka! CCM Mbeya Yajaza Nafasi Mbili Kamati ya Siasa mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu”