Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Alinitupa Bila Majuto, Lakini Muda Mfupi Baadaye Alianza Kunisumbua Kila Siku Bila Mimi Kujitahidi

January 15, 2026

Nilikuwa Najaribu Kila Kitu Kupandisha Biashara Bila Mafanikio Siri Moja Iliyoniletea Mafanikio ya Haraka

January 15, 2026

Mwalunenge Aanza Kutatua Kero ya Barabara Iyela kwa Kumwaga Vifusi

January 15, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Alinitupa Bila Majuto, Lakini Muda Mfupi Baadaye Alianza Kunisumbua Kila Siku Bila Mimi Kujitahidi
  • Nilikuwa Najaribu Kila Kitu Kupandisha Biashara Bila Mafanikio Siri Moja Iliyoniletea Mafanikio ya Haraka
  • Mwalunenge Aanza Kutatua Kero ya Barabara Iyela kwa Kumwaga Vifusi
  • Iyela Yalia kwa Serikali, Barabara Muhimu Yageuka Mtego
  • Nilivyovutia Wateja Wengi Na Kila Siku Kuongeza Mapato Baada ya Hatua Moja Rahisi Ya Kienyeji Nilizofuata
  • Baada ya Kukwama Kuuza Mali Zangu, Hatua Niliyopata Ilibadilisha Kila Kitu Ndani ya Muda Mfupi Sana
  • MAKONDA KWA MARA YA KWANZA AUNGURUMA
  • Baada ya Miaka ya Kutokuwa na Hisia Kitandani, Hatimaye Nilipata Suluhisho la Kudumu
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » Mwakilishi wa Wafanyabiashara, Stephen Langeni (Maranatha), Asisitiza Mbeya Iendelee Kubaki Kijani
Habari za Kitaifa

Mwakilishi wa Wafanyabiashara, Stephen Langeni (Maranatha), Asisitiza Mbeya Iendelee Kubaki Kijani

Mbeya YetuBy Mbeya YetuSeptember 20, 2025No Comments15 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Stephen Samuel Langeni, Mkurugenzi wa Maranatha Pharmacy na Maranatha Hospitali, ambaye pia ni Mwakilishi wa Wafanyabiashara Mkoa wa Mbeya, ametoa rai kwa viongozi na wananchi wa mkoa huo kushirikiana kulinda na kutunza rasilimali za kijani ambazo ndiyo fahari ya Mbeya.

Akizungumza katika kikao maalum, Langeni alisema jina la Mbeya limekuwa likihusishwa moja kwa moja na mandhari ya kijani, lakini hali hiyo ipo hatarini kupotea kutokana na changamoto za ukataji miti holela pamoja na mwamko mdogo wa upandaji miti.

“Mbeya imekuwa ikitambulika kama fahari ya kijani, lakini sasa sifa hii inaondoka kwa kasi kubwa. Kila siku miti mingi inakatwa, na hatua za upandaji hazilingani na kiwango cha ukataji,” alisema Langeni.

Aidha, alieleza kuwa wananchi wengi husikitishwa wanaposhuhudia miti ya zamani inayopendezesha barabara na mandhari ya mji ikikatwa bila taarifa rasmi.

“Miti ambayo imekuwa sehemu ya fahari ya wananchi inapoondolewa, wananchi hawapati taarifa yoyote. Tunashauri kuwe na utaratibu wa kisheria na matangazo ya wazi kabla ya mti wowote kukatwa, ili wananchi wajue sababu na pia wajadili kama kuna njia mbadala,” aliongeza.

Langeni alisisitiza kuwa mbali na kampeni za upandaji miti, ni muhimu zaidi kujenga utamaduni wa kutunza na kulinda miti iliyopo. Aliahidi kuwa Jumuiya ya Wafanyabiashara iko tayari kushirikiana na Serikali kufanikisha kampeni hizo kwa kugharamia miche, kugawa miti, na kusimamia zoezi hilo nyumba kwa nyumba.

Mbali na suala la miti, Langeni pia aligusia changamoto za taa za barabarani, akisema baadhi zimeharibika huku zingine zikihitaji huduma ndogo tu za matengenezo.

“Ni vyema tukatambua ni taa zipi zimeharibika kabisa na zipi hazijafanyiwa huduma. Zikifanyiwa matengenezo, tutaurejesha mji wetu katika mwanga, na mwanga huo utaendana na mandhari yetu ya kijani,” alisema.

Langeni alimalizia kwa kumshukuru Mkuu wa Mkoa kwa hatua alizochukua, huku akisisitiza umuhimu wa kufuatilia utekelezaji wa kampeni za upandaji na utunzaji miti hadi ngazi za mitaa na kaya.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Child Support Tanzania Yawawezesha Madiwani Mbeya Kuhusu Elimu Jumuishi

January 8, 2026

NMB Yaimarisha Ushirikiano na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya

January 7, 2026

MHE. MAHUNDI AWASISITIZA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO IRAMBO KUBADILIKA NA KUJENGA MUSTAKABALI MWEMA

January 6, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025302

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025243

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024216

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025135
Don't Miss
Uncategorized

Alinitupa Bila Majuto, Lakini Muda Mfupi Baadaye Alianza Kunisumbua Kila Siku Bila Mimi Kujitahidi

By Mbeya YetuJanuary 15, 20260

Nilikuwa nikiwa na uhusiano wa miaka miwili na mpenzi wangu wa zamani. Kila kitu kilionekana…

Nilikuwa Najaribu Kila Kitu Kupandisha Biashara Bila Mafanikio Siri Moja Iliyoniletea Mafanikio ya Haraka

January 15, 2026

Mwalunenge Aanza Kutatua Kero ya Barabara Iyela kwa Kumwaga Vifusi

January 15, 2026

Iyela Yalia kwa Serikali, Barabara Muhimu Yageuka Mtego

January 15, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Alinitupa Bila Majuto, Lakini Muda Mfupi Baadaye Alianza Kunisumbua Kila Siku Bila Mimi Kujitahidi

January 15, 2026

Nilikuwa Najaribu Kila Kitu Kupandisha Biashara Bila Mafanikio Siri Moja Iliyoniletea Mafanikio ya Haraka

January 15, 2026

Mwalunenge Aanza Kutatua Kero ya Barabara Iyela kwa Kumwaga Vifusi

January 15, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025302

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025243

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024216
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.