Kwa muda mrefu, nilikuwa nikiwatazama watoto wangu nikihisi huzuni na wasiwasi mkubwa. Wakati mwingine nilirudi nyumbani nikitegemea kuwakuta wakisoma au wakicheza nje, lakini nilikuta macho yao yamebanduka kwenye skrini za simu.
Hawakuwa na hamu ya kufanya chochote kingine. Kila kitu kilihusu michezo ya mtandaoni, video, na mitandao ya kijamii. Nilianza kuona alama zao shuleni zikiporomoka, tabia zikibadilika, na hata mazungumzo kati yetu yakipotea.
Nilijaribu njia nyingi. Nilipunguza muda wa kutumia simu, nikatoa masharti, hata nikaweka vikwazo vya kifamilia, lakini hakuna kilichobadilika. Walijua jinsi ya kukwepa kila kanuni niliyoweka. Nilihisi kama nimepoteza mamlaka kama mzazi.
Nilianza kulaumu teknolojia, jamii, na hata kazi yangu kwa sababu nilikuwa sipati muda mwingi wa kukaa nao. Kila usiku nililala nikijiuliza kama nimeshindwa kuwa mzazi bora.
Nilizungumza na walimu wao shuleni, lakini hata wao walikiri tatizo hilo limeenea sana miongoni mwa watoto wa kizazi hiki. Waliniambia nivumilie, kwamba labda watabadilika wenyewe kadri wanavyokua. Lakini sikutaka kusubiri.
Nilihisi nikipoteza watoto wangu polepole kwa kitu ambacho siwezi kugusa wala kuona ulimwengu wa mtandaoni. Wakati mwingine walisahau hata kula au kuoga kwa wakati, na walipozuiwa kutumia simu, walikuwa wakikasirika au kujitenga. Nilianza kuogopa kuwa ninawapoteza kabisa. Soma zaidi hapa

