Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

BAKWATA WAKUSANYA MAKUNDI YA KIJAMII WAENDESHA SEMINA YA AMANI KUSAHAU MATUKIO OKT 29

March 11, 2026

King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.

March 9, 2026

Uzalendo wa Kweli: King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.

March 9, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • BAKWATA WAKUSANYA MAKUNDI YA KIJAMII WAENDESHA SEMINA YA AMANI KUSAHAU MATUKIO OKT 29
  • King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.
  • Uzalendo wa Kweli: King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.
  • BAKWATA MBEYA YAANDAA SEMINA ELEKEZI KWA MAIMAMU NA WAHADHIRI JUU YA AMANI
  • MWALUNENGE AHOJI KUFUNGIWA MARA KWA MARA UWANJA WA SOKOINE
  • RAIS Samia Suluhu Hassan ATUMA SALAMU ZA POLE KWA ZAHIR ALLY ZORRO
  • WANAWAKE WATAKIWA KUENDELEA KUPINGA UKATILI KATIKA JAMII
  • Funguka Foundation Yapokea Msaada wa Mashine ya Kufulia Kutoka Wanawake TAKUKURU MBEYA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » TANZANIA NA QATAR ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA KUTAMBULIANA VYETI VYA MABAHARIA
Habari za Kitaifa

TANZANIA NA QATAR ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA KUTAMBULIANA VYETI VYA MABAHARIA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuNovember 26, 2025Updated:November 26, 2025No Comments12 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email



Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Bw. Mohamed Malick Salum na Mhandisi Abdulaziz Abdullah Al-Sulait, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi wa Qatar, akisaini kwa niaba ya nchi yake wakisaini Hati ya kutambuliana vyeti vya Mabaharia na Qatar katika hafla iliyofanyika London

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Bw. Mohamed Malick Salum na Mhandisi Abdulaziz Abdullah Al-Sulait, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi wa Qatar wakiwa wameshikana mkono mara baada kusaini Hati ya Makubaliano ya kutambuliana vyeti vya Mabaharia na Qatar katika hafla iliyofanyika London

Na Mwandishi Wetu London

Serikali ya Tanzania na Serikali ya Qatar leo, tarehe 24 Novemba 2025, zimesaini hati ya makubaliano (MoU) ya kutambuliana vyeti vya mabaharia katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika jijini London. Hafla hiyo imefanyika pembezoni mwa mkutano wa 34 wa Baraza Kuu la Shirika la Bahari Duniani na kuhudhuriwa na viongozi pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya bahari.

Kwa upande wa Tanzania, makubaliano hayo yamesainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Bw. Mohamed Malick Salum, huku Mhandisi Abdulaziz Abdullah Al-Sulait, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi wa Qatar, akisaini kwa niaba ya nchi yake.

Kupitia MoU hii, pande zote mbili zinatarajia kuboresha viwango vya umahiri, usalama na ubora katika taaluma ya ubaharia, sambamba na kuendeleza mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Qatar.

Hatua hii inatarajiwa kuongeza ajira kwa mabaharia wa Kitanzania katika meli zilizosajiliwa au kuendeshwa na kampuni za Qatar, kwani hawatalazimika kupitia upya taratibu za uthibitishaji wa vyeti pamoja na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya usafirishaji baharini kati ya nchi hizo mbili.

Aidha makubaliano haya yatawezesha mabaharia kupata maslahi bora na fursa zaidi za kazi kwenye masoko yenye ushindani wa juu na kunachochea uhamishaji wa ujuzi na utaalamu wa kimataifa, kwa kuwa mabaharia watafanya kazi katika majukwaa yenye viwango vya juu vya teknolojia na usalama pamoja na kuimarisha uwezo wa Tanzania katika utoaji wa mafunzo ya ubaharia, kwani vyuo na vyeti vyake vitakuwa na uhalali mpana zaidi kimataifa

 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Uzalendo wa Kweli: King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.

March 9, 2026

WANAWAKE WATAKIWA KUENDELEA KUPINGA UKATILI KATIKA JAMII

March 9, 2026

Funguka Foundation Yapokea Msaada wa Mashine ya Kufulia Kutoka Wanawake TAKUKURU MBEYA

March 8, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025364

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025253

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024236

Vijana Wamchana Waziri wa Vijana, ”Si Wananchi, Ila Watumishi Ndio Watakaoniangusha”

December 1, 2025141
Don't Miss
Video Mpya

BAKWATA WAKUSANYA MAKUNDI YA KIJAMII WAENDESHA SEMINA YA AMANI KUSAHAU MATUKIO OKT 29

By Mbeya YetuMarch 11, 20260

#mbeyayetutv

King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.

March 9, 2026

Uzalendo wa Kweli: King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.

March 9, 2026

BAKWATA MBEYA YAANDAA SEMINA ELEKEZI KWA MAIMAMU NA WAHADHIRI JUU YA AMANI

March 9, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

BAKWATA WAKUSANYA MAKUNDI YA KIJAMII WAENDESHA SEMINA YA AMANI KUSAHAU MATUKIO OKT 29

March 11, 2026

King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.

March 9, 2026

Uzalendo wa Kweli: King James Pharmacy Yaweka Alama ya Kipekee MZRH, Yaonyesha Kiu ya Wazawa Kuikwamua Sekta ya Afya.

March 9, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025364

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025253

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024236
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.