Aliyekuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Dor Mohamed Issah, ameibuka mshindi kwenye kura za maoni za CCM akitetea nafasi yake ya Umeya baada ya kupata kura 28. Amefuatiwa na Benjamin Mwandete aliyepata kura 20 huku Godwin Mwakyusa akipata kura 2
Trending
- MAZISHI YA SAMSON MWAMAKIMBULA
- Mbinu aliyotumia kupata kazi ya udereva baada ya kusota sana
- MHE. SALOME MAKAMBA AIPONGEZA PBPA KWA UTENDAJI KAZI MZURI
- Hofu yake zilianza kuathiri hata furaha ya ndoa yake
- MASACHE AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUSHIKILIA AMANI
- MH. MASACHE: TUENDELEE KUISIMAMIA MIRADI ILIYOKUWEPO NA KUIBUA MIPYA AWASHUKURU WANA CHUNYA
- MH. NOAH MWAKISU AAPISHWA RASMI KUWA DIWANI KATA YA ILOMBA
- Dourmohamed Issa ashinda kwa kishindo Umeya na kutetea nafasi yake

