WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwq na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini.

Trending
- Nyuki Wazingira Nyumba yake Kisa Mume wa Mtu, Majirani Wadai Sio Tukio la Kawaida
- Harusi Yasimamishwa Baada ya Mama Mkwe Kupiga Mayowe Kanisani Sababu Yake Yakaa Siri kwa Saa 24
- Kila Mara Nilipopata Pesa, Zilikuwa Zikitoweka Nilibaini Sababu Baada ya Miezi Kadhaa
- Usiku Mmoja Urithi Wangu Mkubwa Ulipotea Na Niligundua Majirani Walikuwa Wakiandaa Uchawi Dhidi Yangu
- Nilivyogundua Siri Ya Kuweka Bahati Yangu Kwenye Biashara Niliyoianza Kutokuwa Na Kila Kitu
- Nilivyopata Mtoto Wa Kike Niliyemuhitaji Baada ya Miaka Ya Kutafuta Bila Mafanikio
- Salama za Rambirambi kwenye Msiba wa Dada yake MNEC Ndele Mwaselela jijini Mbeya
- Nilivyorejesha Furaha ya Kuwa Baba Baada ya Watoto Kunikataa Kwa Muda Mrefu

