Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nyuki Wazingira Nyumba yake Kisa Mume wa Mtu, Majirani Wadai Sio Tukio la Kawaida

January 12, 2026

Harusi Yasimamishwa Baada ya Mama Mkwe Kupiga Mayowe Kanisani Sababu Yake Yakaa Siri kwa Saa 24

January 12, 2026

Kila Mara Nilipopata Pesa, Zilikuwa Zikitoweka Nilibaini Sababu Baada ya Miezi Kadhaa

January 11, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nyuki Wazingira Nyumba yake Kisa Mume wa Mtu, Majirani Wadai Sio Tukio la Kawaida
  • Harusi Yasimamishwa Baada ya Mama Mkwe Kupiga Mayowe Kanisani Sababu Yake Yakaa Siri kwa Saa 24
  • Kila Mara Nilipopata Pesa, Zilikuwa Zikitoweka Nilibaini Sababu Baada ya Miezi Kadhaa
  • Usiku Mmoja Urithi Wangu Mkubwa Ulipotea Na Niligundua Majirani Walikuwa Wakiandaa Uchawi Dhidi Yangu
  • Nilivyogundua Siri Ya Kuweka Bahati Yangu Kwenye Biashara Niliyoianza Kutokuwa Na Kila Kitu
  • Nilivyopata Mtoto Wa Kike Niliyemuhitaji Baada ya Miaka Ya Kutafuta Bila Mafanikio
  • Salama za Rambirambi kwenye Msiba wa Dada yake MNEC Ndele Mwaselela jijini Mbeya
  • Nilivyorejesha Furaha ya Kuwa Baba Baada ya Watoto Kunikataa Kwa Muda Mrefu
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » MH. MAHUNDI AWAHIMIZA VIJANA KUISHI KWA MISINSI YA UWAJIBIKAJI NA UTU
Habari za Kitaifa

MH. MAHUNDI AWAHIMIZA VIJANA KUISHI KWA MISINSI YA UWAJIBIKAJI NA UTU

Mbeya YetuBy Mbeya YetuDecember 23, 2025No Comments9 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Serikali imesisitiza umuhimu wa jamii kuimarisha maadili na uzalendo miongoni mwa vijana nchini kwa kutumia taasisi za elimu ili kujenga taifa lenye misingi imara ya utu, uwajibikaji.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, akiwa mgeni rasmi katika Mdahalo wa maadili na uzalendo uliofanyika katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare, mkoani Mara.

Mhe. Mahundi amesema, Serikali ya Awamu ya Sita inaamini kuwa maendeleo ya kweli ya taifa hayawezi kupatıkana bila kujenga maadili ya wananchi wake, hususan vijana ambao ndiyo nguvu kazi na viongozi wa baadaye.

“Huwezi kujenga taifa lenye maendeleo ya kweli bila kujenga
maadili ya raia wake. Vijana wanapaswa kulelewa katika misingi ya utu, uzalendo, uwajibikaji na kuheshimu sheria, kwa sababu wao ndiyo nguzo ya sasa na ya baadaye ya taifa letu, vyuo vina nafasi ya kipekee katika kumjenga kijana kwa sababu vinamgusa katika hatua muhimu ya maisha yake hivyo serikali itaendelea kushirikiana na vyuo ili kuhakikisha elimu ya maadili na uzalendo inakuwa sehemu ya kudumu ya mifumo ya malezi” alisema Mhe. Maryprisca.

Awali, Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare Paschal Mahinyila amesema, mdahalo huo ni utekelezaji wa maelekezo ya Wizara, lakini pia ni sehemu ya dhamira ya Chuo katika kuwajenga wanachuo kuwa raia wenye maadili na uzalendo.

Chuo hicho kimejikita katika malezi ya wanachuo kwa kuzingatia maeneo matatu muhimu ya ukuaji wa binadamu ambayo ni akili, roho na haiba, huku akisisitiza kuwa malezi hayo ndiyo msingi wa kujenga raia bora.

“Mdahalo huu ni utekelezaji wa maelekezo ya Wizara yetu, lakini pia ni sehemu ya mkakati wa Chuo wa kuwajenga vijana wenye maadili mema, uzalendo wa dhati na uwajibikaji kwa taifa lao, tunaamini kuwa huwezi kumlea binadamu kamili bila kuzingatia ukuaji wa akili, roho na haiba. Ndiyo maana Chuo kimeweka mifumo ya kufundisha uraia, kuhimiza nidhamu, maadili, mavazi rasmi na kutoa fursa za malezi ya kiroho kwa wanachuo,” alisema Mkuu wa

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Child Support Tanzania Yawawezesha Madiwani Mbeya Kuhusu Elimu Jumuishi

January 8, 2026

NMB Yaimarisha Ushirikiano na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya

January 7, 2026

MHE. MAHUNDI AWASISITIZA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO IRAMBO KUBADILIKA NA KUJENGA MUSTAKABALI MWEMA

January 6, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025299

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025241

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024213

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025132
Don't Miss
Uncategorized

Nyuki Wazingira Nyumba yake Kisa Mume wa Mtu, Majirani Wadai Sio Tukio la Kawaida

By Mbeya YetuJanuary 12, 20261

Kila siku ilikuwa na changamoto zake, lakini siku hiyo ilitoka nje ya kawaida kabisa. Nilipoamka…

Harusi Yasimamishwa Baada ya Mama Mkwe Kupiga Mayowe Kanisani Sababu Yake Yakaa Siri kwa Saa 24

January 12, 2026

Kila Mara Nilipopata Pesa, Zilikuwa Zikitoweka Nilibaini Sababu Baada ya Miezi Kadhaa

January 11, 2026

Usiku Mmoja Urithi Wangu Mkubwa Ulipotea Na Niligundua Majirani Walikuwa Wakiandaa Uchawi Dhidi Yangu

January 11, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nyuki Wazingira Nyumba yake Kisa Mume wa Mtu, Majirani Wadai Sio Tukio la Kawaida

January 12, 2026

Harusi Yasimamishwa Baada ya Mama Mkwe Kupiga Mayowe Kanisani Sababu Yake Yakaa Siri kwa Saa 24

January 12, 2026

Kila Mara Nilipopata Pesa, Zilikuwa Zikitoweka Nilibaini Sababu Baada ya Miezi Kadhaa

January 11, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025299

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025241

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024213
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.