Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MHE. MAHUNDI AWASISITIZA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO IRAMBO KUBADILIKA NA KUJENGA MUSTAKABALI MWEMA

January 6, 2026

Nilikuwa Nikipoteza Pesa Bila Kujua Inakwenda Wapi Uamuzi Ulioninusuru

January 6, 2026

Nilijaribu Kushinda Sport Bet Bila Mafanikio Mwongozo Mmoja Ulinifanya Nilivune Milioni

January 6, 2026
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • MHE. MAHUNDI AWASISITIZA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO IRAMBO KUBADILIKA NA KUJENGA MUSTAKABALI MWEMA
  • Nilikuwa Nikipoteza Pesa Bila Kujua Inakwenda Wapi Uamuzi Ulioninusuru
  • Nilijaribu Kushinda Sport Bet Bila Mafanikio Mwongozo Mmoja Ulinifanya Nilivune Milioni
  • HATIMAYE ASANTE MBEYA WAFANYA MAAMUZI MAGUMU WACHAGUA VIONGOZI TAKUKURU KUSIMAMIA MGAWANYO WA MALI
  • Mahundi Akagua Maendeleo ya Bweni la Wasichana Jijini Mbeya
  • NAIBU WAZIRI MAHUNDI ASISITIZA UWAJIBIKAJI MIRADI VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII.
  • Nilihisi Kuna Kitu Kinazuia Maendeleo Yangu Baada ya Kufunguliwa, Mambo Yalisonga
  • Jinsi Nilivyoshinda Beti Ya AFCON Baada Ya Kupata Usaidizi Wa Kimaajabu
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » NAIBU WAZIRI MAHUNDI ASISITIZA UWAJIBIKAJI MIRADI VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII.
Habari za Kitaifa

NAIBU WAZIRI MAHUNDI ASISITIZA UWAJIBIKAJI MIRADI VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJanuary 5, 2026No Comments9 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

📌 Aagiza Bweni la Wasichana Chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole likamilishwe kwa wakati.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, amemtaka mkandarasi anayesimamia ujenzi wa bweni la wasichana katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole, Jijini Mbeya, kuhakikisha anakamilisha mradi huo kwa wakati uliopangwa ili kuendana na malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha mazingira ya elimu kwa watoto wa kike.

Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi ametoa maagizo hayo wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo, ambayo yamefikia zaidi ya asilimia 90 ya utekelezaji wake huku akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji na matumizi sahihi ya fedha za umma katika miradi ya maendeleo.

“Serikali imewekeza zaidi ya shilingi bilioni tano katika ujenzi wa bweni hili, hivyo ni wajibu wa mkandarasi, msimamizi wa mradi na uongozi wa Chuo kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana na mradi huu unakamilika kwa ubora na kwa wakati,” amesema Mhe. Mahundi.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Mbeya Edina Mwaigomole amesema ujenzi wa bweni hilo ni hatua muhimu katika kumlinda na kumwezesha mtoto wa kike kielimu, hasa kwa wanafunzi wanaotoka maeneo ya mbali.

“Bweni hili ni suluhisho la changamoto nyingi zilizokuwa zinawakabili wasichana, ikiwemo ukosefu wa makazi salama. UWT tunaipongeza Serikali kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowasaidia wasichana kusoma kwa utulivu na kujiendeleza,” amesema Mwenyekiti Edina.

Naye Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Uyole, Silvester Mwambene, amesema kukamilika kwa mabweni hayo kutakuwa na mchango mkubwa katika kuongeza udahili wa wanafunzi wa kike pamoja na kupunguza changamoto za kijamii zilizokuwa zikijitokeza awali.

“Mabweni haya yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 600 na yatasaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa changamoto ya mimba zisizotarajiwa kwa wanafunzi wa kike, kwani yatatoa mazingira salama na rafiki kwa masomo,” amesema Mwambene.

Kwa upande wake, Msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa mabweni hayo, Latoi Mollel, amesema maandalizi ya mwisho yanaendelea na mradi huo unatarajiwa kukamilika ifikapo Desemba mwaka huu kama ilivyopangwa.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MHE. MAHUNDI AWASISITIZA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO IRAMBO KUBADILIKA NA KUJENGA MUSTAKABALI MWEMA

January 6, 2026

NAIBU WAZIRI MAHUNDI ATOA TABASAMU KWA KITUO CHA TUMAINI LA WAZEE JIJINI MBEYA.

January 4, 2026

MDAU WA MAENDELEO NDELE MWASELELA AYAJENGA NA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA

January 1, 2026

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025295

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025239

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024213

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025132
Don't Miss
Habari za Kitaifa

MHE. MAHUNDI AWASISITIZA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO IRAMBO KUBADILIKA NA KUJENGA MUSTAKABALI MWEMA

By Mbeya YetuJanuary 6, 202620

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi,…

Nilikuwa Nikipoteza Pesa Bila Kujua Inakwenda Wapi Uamuzi Ulioninusuru

January 6, 2026

Nilijaribu Kushinda Sport Bet Bila Mafanikio Mwongozo Mmoja Ulinifanya Nilivune Milioni

January 6, 2026

HATIMAYE ASANTE MBEYA WAFANYA MAAMUZI MAGUMU WACHAGUA VIONGOZI TAKUKURU KUSIMAMIA MGAWANYO WA MALI

January 5, 2026
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

MHE. MAHUNDI AWASISITIZA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO IRAMBO KUBADILIKA NA KUJENGA MUSTAKABALI MWEMA

January 6, 2026

Nilikuwa Nikipoteza Pesa Bila Kujua Inakwenda Wapi Uamuzi Ulioninusuru

January 6, 2026

Nilijaribu Kushinda Sport Bet Bila Mafanikio Mwongozo Mmoja Ulinifanya Nilivune Milioni

January 6, 2026
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025295

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025239

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024213
© 2026 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.