Kwa muda mrefu nilikuwa nikiishi maisha ambayo hayakuwa yangu. Kila jambo lilikuwa linaanza vizuri lakini linaisha vibaya bila sababu ya kueleweka. Nilikuwa na afya njema jana, leo naamka nikiwa dhaifu. Nilikuwa na furaha asubuhi, jioni huzuni nzito inanielemea.
Nilihisi kama kulikuwa na mkono usioonekana uliokuwa unanisukuma chini kila nilipojaribu kuinuka. Nilianza kuona ishara zisizo za kawaida. Ndoto mbaya zilikuwa za kurudia rudia, usingizi haukuwa usingizi, na nyumbani kwangu hapakuwa na amani.
Watu wa karibu waliniona nimebadilika, lakini hawakujua nini kinaniandama. Nilijaribu kupuuza nikidhani ni msongo wa mawazo, lakini moyoni nilijua kuna zaidi ya hilo. Kilichonishtua ni pale matatizo yalipoanza kuingia kwa kasi. Soma zaidi hapa

