Haikuanza kama hadithi ya kutisha. Ilianza taratibu, kana kwamba maisha yalikuwa yanajifunga yenyewe. Kila nilichogusa kiliharibika. Kazi ilianza kunichosha bila sababu, pesa zilipotea ghafla, na afya yangu ikaanza kuyumba.
Nilikuwa nikijitahidi mara mbili zaidi, lakini matokeo yalizidi kuwa mabaya. Ndani yangu nilihisi kama kuna kitu kilikuwa kinanivuta chini kimya kimya. Nilijaribu kujilinda kwa njia nilizozifahamu. Niliomba, nilinyamaza, nilijiepusha na watu niliodhani wananiletea mkosi.
Lakini haikusaidia. Kila usiku nililala nikiwa na mawazo mazito, nikiamka nikiwa nimechoka kana kwamba sikulala. Ndoto zangu zilikuwa nzito na za kurudia. Nilihisi wazi kuwa kulikuwa na shambulio lisilo la kawaida. Soma zaidi hapa

