Kwa muda mrefu nilishangaa kwa nini maisha yangu yalibadilika ghafla. Nilikuwa nafanya kazi kwa bidii, nipate kidogo lakini nikaendelea mbele. Ghafla kila kitu kilianza kwenda kinyume.
Kazi zikakwama, biashara ndogo niliyokuwa nimeanza ikaanguka, na fursa nilizotarajia zikaanza kunipotea moja baada ya nyingine. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba mabadiliko haya yalitokea wakati nilipokuwa karibu sana na rafiki niliyemwamini kuliko mtu mwingine yeyote.
Rafiki huyu alikuwa karibu nami kila siku. Alijua mipango yangu, ndoto zangu, hata siri nilizokuwa nazificha moyoni. Nilidhani ana nia njema, lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kuona maisha yake yakipanda kwa kasi isiyo ya kawaida huku yangu yakizidi kudorora. Soma zaidi hapa

