Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ametoa vifaa vya kusomea kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum wa Shule ya Msingi Nsalala, Halmashauri ya Mbeya. Vifaa hivyo vikiwemo kompyuta mpakato na rekoda za sauti vinalenga kuboresha mazingira ya ujifunzaji na kuhakikisha elimu bora kwa usawa. Akikabidhi msaada huo, Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Bi. Erica Yegera, amesema ni uthibitisho wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita katika utekelezaji wa sera ya elimu jumuishi.
Trending
- Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya
- TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA
- AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI
- SHEIKH WA MKOA MBEYA ATOA UJUMBE KWA WAISLAMU KUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
- EFTA YACHOCHEA UCHUMI KWA HATI FUNGANI YA BILIONI 50
- Kanisa la Moravian Tanzania Lamkabidhi Yona Sonelo Tuzo Maalum Baada ya Shahada ya Heshima Australia
- Beno Malisa Azindua Tawi la Strategies Insurance Mbeya, Akaribisha Wawekezaji
- RC Malisa Afungua Mafunzo ya Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Mbeya

