Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wameadhimisha siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukata keki kama ishara ya mshikamano na pongezi. Maadhimisho hayo yaliongozwa na Diwani wa Kata ya Nsalala, Mhe. Festo Mbilike, aliyempongeza Rais Samia kwa kuwaamini na kuwawezesha vijana kupitia fursa za ajira na mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri. Sherehe hizo zilifanyika Mji Mdogo wa Mbalizi, zikianza na maandamano ya amani ya vijana na bodaboda.
Trending
- Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya
- TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA
- AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI
- SHEIKH WA MKOA MBEYA ATOA UJUMBE KWA WAISLAMU KUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
- EFTA YACHOCHEA UCHUMI KWA HATI FUNGANI YA BILIONI 50
- Kanisa la Moravian Tanzania Lamkabidhi Yona Sonelo Tuzo Maalum Baada ya Shahada ya Heshima Australia
- Beno Malisa Azindua Tawi la Strategies Insurance Mbeya, Akaribisha Wawekezaji
- RC Malisa Afungua Mafunzo ya Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Mbeya

