Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Kasaka, akichangia Mpango wa Maendeleo wa Serikali 2026/27 bungeni, amepongeza Serikali kwa mwelekeo mzuri wa mpango huo na kusisitiza umuhimu wa kuimarisha miundombinu ya usambazaji wa umeme, hususan Chunya. Ameshauri ujenzi wa kituo cha umeme (substation) na upanuzi wa umeme kwenye maeneo ya wachimbaji ili kupunguza gharama za uendeshaji, kuongeza uzalishaji, na kuchochea ukuaji wa sekta ya madini na sekta binafsi kwa ujumla.
Trending
- Mvua na upepo mkali waathiri zaidi ya kaya 200 Mbeya
- TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA
- AB YAPENDEKEZA MAPITIO MAKUBWA KULINDA BLOGA NA WATENGENEZA MAUDHUI
- SHEIKH WA MKOA MBEYA ATOA UJUMBE KWA WAISLAMU KUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN
- EFTA YACHOCHEA UCHUMI KWA HATI FUNGANI YA BILIONI 50
- Kanisa la Moravian Tanzania Lamkabidhi Yona Sonelo Tuzo Maalum Baada ya Shahada ya Heshima Australia
- Beno Malisa Azindua Tawi la Strategies Insurance Mbeya, Akaribisha Wawekezaji
- RC Malisa Afungua Mafunzo ya Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Mbeya

