#mbeyayetutv
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amevunja ukimya na kuweka mambo hadharani kwa kuelezea hisia zake juu ya kile kinachoelezwa na baadhi ya wanasiasa wilayani’Namtumbo mkoani Ruvuma.
Akiwa katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Taasisi ya Site Trust Foudation na Site Fm zinazosimamiwa na wake zake Imani na Jasmin.
‘’Namtumbo ni Nyumbani kwetu Nimezaliwa Namtumbo sijaja kufanya siasa tuwaunge mkono viongozi wetu’’amesema Homera
Trending
- “Hongera! Umeshinda JACKPOT ya Sh6,800,000”
- MFANYAKAZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA APATA TUZO YA MWANAFUNZI BORA WA SHAHADA YA UZAMILI YA UDAKTARI WA MENO MUHAS.
- Ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru.
- Haikuwa tu safari ya kupona, bali safari ya kujikubali
- SERIKALI YA TANZANIA KUWAFUTIA HADHI YA UKIMBIZI WAKIMBIZI WANAOISHI NCHINI.
- MAZISHI YA SAMSON MWAMAKIMBULA
- Mbinu aliyotumia kupata kazi ya udereva baada ya kusota sana
- MHE. SALOME MAKAMBA AIPONGEZA PBPA KWA UTENDAJI KAZI MZURI

