Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameongoza waombolezaji kutoka Kundi la Afrika pamoja na mataifa rafiki ya Afrika ndani ya IPU kutoa salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Zambia, Mhe. Nelly Mutti, kufuatia kifo cha Katibu wa Bunge la Zambia, Marehemu Roy Ngulube, aliyefariki dunia tarehe 7 Aprili 2025 nchini Uzbekistan. Tukio hilo limefanyika leo, tarehe 8 Aprili 2025, jijini Tashkent, Uzbekistan.
Trending
- Niliwahi kuandikiwa wasifu wa kifo Hospitalini ila leo nawambia siri ya kupona
- HUJUMA NYINGINE KUBWA WIZI DHIDI YA MAJI MAMLAKA YA MAJI MBEYA
- Nilipigwa na butwaa kuona jina lake kwenye hati ya shamba la Sugar Daddy
- LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)
- Siku ya kwanza kumbeba mtoto wangu
- WAANDISHI WA VITABU NCHINI WAGEUKIA VIJIJINI KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU KWA WATOTO
- Aliniambia siwezi kuwa mrembo bila upasuaji, ila sasa nalipwa kupiga picha za vipodozi
- Hii hapa njia niliyotumia na kushinda bet, sasa ni tajiri mkubwa!