Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Aprili 19, 2025 limefanikiwa kukamata Gari yenye namba za usajili T833EDN aina ya Mitsubishi Canter ikiwa imebeba shehena ya Dawa za Kulevya aina ya Bhangi mafurushi 67 ikitokea nchi jirani ya Malawi.
Trending
- WAKAZI JIJI LA MBEYA WATAJA SIFA ZA MADIWANI WANAOHITAJIKA NA MBUNGE WAO UCHAGUZI OKTOBA 2O25
- Polisi Mbeya Wakamata Gari la Bhangi Mafurushi 67 Likiwa Linatoka Malawi
- Dkt. Tulia Azindua Ambulansi Mpya kwa Kituo cha Afya Mwakibete ili Kuboresha Huduma za Afya Mbeya
- KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025
- Vigeregere na Shangwe! Dkt. Tulia Aongoza Mapokezi ya Mabomba ya Mradi wa Maji kutoka Mto Kiwira
- Nsomba Ampongeza Dk. Tulia Ackson kwa kutoa huduma ya matibabu ya Macho Bure Jijini Mbeya
- Dkt. Tulia Ackson Aongoza Zoezi la Upimaji na Matibabu ya Macho Bure Jijini Mbeya