Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Ndipo siku hiyo akashinda Sh17 milioni ya Jackpot

December 4, 2025

MAHUNDI ATIMIZA AHADI YA VIFAA VYA UJENZI WA OFISI YA TAWI LA SIMBA

December 4, 2025

MBOGA IMEIVA! Wadau Wapiga Jeki Mbao 300+ Kwa Nyumba ya Katibu wa Wazazi

December 3, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Ndipo siku hiyo akashinda Sh17 milioni ya Jackpot
  • MAHUNDI ATIMIZA AHADI YA VIFAA VYA UJENZI WA OFISI YA TAWI LA SIMBA
  • MBOGA IMEIVA! Wadau Wapiga Jeki Mbao 300+ Kwa Nyumba ya Katibu wa Wazazi
  • PATARI SHIDA PATARI AWAASA MADIWANI: “TUJENGE MBEYA VIJIJINI KWA PAMOJA”
  • KAULI MPYA KUTOKA CCM KYELA,FEDHA ZIMETOKA AU ZIMEUNGUA ,UCHUNGUZI UNAENDELEA.
  • KATIBU MKUU KIONGOZI ZENA AHMED AFUNGUA MKUTANO WA WAJIOLOJIA MBEYA
  • MBEYA UWSA YAZINDUA GARI JIPYA LA UTOAJI WA HUDUMA YA KUONDOSHA MAJITAKA
  • BALOZI WA TANZANIA, MALAWI AKUTANA NA WATENDAJI KITUO CHA PAMOJA MPAKANI, BAADA YA UCHAGUZI OKT.29
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » SPIKA DKT. TULIA ACKSON AFUNGUA KONGAMANO LA WASOMI WA AFRIKA UDSM
Habari za Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ACKSON AFUNGUA KONGAMANO LA WASOMI WA AFRIKA UDSM

Mbeya YetuBy Mbeya YetuApril 29, 2025No Comments4 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 29 Aprili 2025, amefungua rasmi Kongamano la Wasomi na Wanazuoni wa Afrika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Akizungumza wakati wa ufunguzi, Mhe. Spika amesisitiza umuhimu wa kulinda uhuru wa wanataaluma kama msingi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Aidha, amewataka wanazuoni kutumia maarifa yao kuchochea mabadiliko chanya katika jamii.

Kongamano hilo limeandaliwa na Ndaki ya Sayansi za Jamii ya UDSM kwa kushirikiana na Kanseli ya Maendeleo ya Utafiti katika Sayansi za Jamii (CODESRIA) na linatarajiwa kudumu kwa siku nne, likijadili nafasi ya uhuru wa kitaaluma katika Afrika ya leo.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MH. MAHUNDI: Serikali Yaendelea Kuimarisha Mazingira Wezeshi kwa Biashara za Wanawake Dodoma

November 28, 2025

MIKOPO IWE CHACHU YA KUKUA KIUCHUMI NA KUZITUNZA FAMILIA ZENU – MHE. MARYPRISCA

November 28, 2025

WILAYA YA RUNGWE YAMKABIDHI RASMI MKANDARASI WA KAGWA GENERAL SUPPLIES KUANZA KUJENGA SOKO LA NDIZI LA KISASA KIWILA

November 26, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025245

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024206

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025128
Don't Miss
Uncategorized

Ndipo siku hiyo akashinda Sh17 milioni ya Jackpot

By Mbeya YetuDecember 4, 20250

Kijana James alizaliwa na kukulia mjini Moshi, eneo lililojaa upepo mwanana kutoka miguuni mwa Mlima…

MAHUNDI ATIMIZA AHADI YA VIFAA VYA UJENZI WA OFISI YA TAWI LA SIMBA

December 4, 2025

MBOGA IMEIVA! Wadau Wapiga Jeki Mbao 300+ Kwa Nyumba ya Katibu wa Wazazi

December 3, 2025

PATARI SHIDA PATARI AWAASA MADIWANI: “TUJENGE MBEYA VIJIJINI KWA PAMOJA”

December 3, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Ndipo siku hiyo akashinda Sh17 milioni ya Jackpot

December 4, 2025

MAHUNDI ATIMIZA AHADI YA VIFAA VYA UJENZI WA OFISI YA TAWI LA SIMBA

December 4, 2025

MBOGA IMEIVA! Wadau Wapiga Jeki Mbao 300+ Kwa Nyumba ya Katibu wa Wazazi

December 3, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025245

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025234

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024206
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.