Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA

June 9, 2025

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.

June 9, 2025

TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025

June 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA
  • MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.
  • TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025
  • TULIA TRUST UYOLE CUP 2025 YAZINDULIWA MBEYA.
  • MASHUHUDA AJALI ILIOUA 28 MBEYA WATOA NENO
  • MH. MAHUNDI: SERIKALI YABORESHA MAWASILIANO KATA YA MKWAMBA RUKWA KUPITIA MIRADI YA UCSAF
  • EID EL UDH HIYA MBEYA; TUJIHADHARI NA WACHOCHEZI TUILINDE AMANI YA NCHI YETU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
  • AFISA MTENDAJI MKUU WA AfD AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BODI YA GPE MJINI PARIS LEO
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.
Habari za Kitaifa

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.

Mbeya YetuBy Mbeya YetuJune 9, 2025No Comments31 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

MFUKO wa hifadhi ya Jamii PSSSF imefanya mkutano maalumu na Waandishi wa Habari kutoka Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya, MBEYA PRESS CLUB ikiwa ni sehemu ya kuongeza wigo wa kujua utendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF.

Mkutano huo maalumu umefanyika katika ukumbi wa Hotel ya Mgwasi Jijini Mbeya ambapo Waandishi wa Habari wamejengewa uwezo na kuwekewa mazingira mazuri ya kutambua umuhimu wa shughuli zinazofanywa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma PSSSF.

Akizungumza katika mkutano huo Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma PSSSF Rehema Mkamba.

Bi Mkamba amesema hadi sasa PSSSF imeshakutana na Waandishi kutoka Klabu za Waandishi mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Zanzibar na Mbeya na kuwa watakutana pia na Waandishi Klabu ya Waandishi wa Mtwara na Mwanza.

Amesema lengo ni kuzidi kuifikia jamii na kuwaongezea uelewa wanajamii kutokana na uelewa mdogo juu ya Huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa wananchi.

Awali katika mafunzo hayo Meneja wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii PSSSF Kanda Nyanda za Juu Kusini Ramadhan Mgaya ameelezea umuhimu wa kujiwekea hifadhi baada ya kustaafu utumishi wa umma na kujiwekea mazingira bora ya maisha baada ya kustaafu utumishi wa umma.

Kwa upande wake Mstaafu wa utumishi wa Umma Vicent Msola amesema awali kulikuwa na sintofahamu juu ya kucheleweshewa mafao yao na kwamba kwa sasa wastaafu wanalipwa mafao yao ndani ya muda mfupi baada ya kustaafu.

Amesema ili kujiwekea mazingira bora ya maisha baada ya kustaafu kwa kuwa na shughuli mbadala zitakazowasaidia kuishi vizuri katika maisha ya kustaafu.

Naye Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya Joseph Mwaisango amesema uhusiano wa PSSSF na Klabu ya Waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Mbeya Press Club utaleta chachu ya mahusiano na wigo wa kuifahamisha jamii juu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii PSSSF.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MH. MAHUNDI: SERIKALI YABORESHA MAWASILIANO KATA YA MKWAMBA RUKWA KUPITIA MIRADI YA UCSAF

June 8, 2025

MH. MAHUNDI: KADI MPYA ZA MASTERCARD KUIIMARISHA HUDUMA ZA KIFEDHA TANZANIA

June 4, 2025

Waziri Aweso: Miradi Ya Maji Yapiga Hatua, Sasa Tuimarishe Huduma na Udhibiti wa Upotevu wa Maji

May 28, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202566

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

March 29, 202457
Don't Miss
Video Mpya

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA

By Mbeya YetuJune 9, 20250

#mbeyayetutv

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.

June 9, 2025

TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025

June 9, 2025

TULIA TRUST UYOLE CUP 2025 YAZINDULIWA MBEYA.

June 9, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WASTAAFU WA UMMA PSSSF WATOA DOZI KWA WANAHABARI MBEYA

June 9, 2025

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII PSSSF YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI MKOA WA MBEYA.

June 9, 2025

TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025

June 9, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202482

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202566
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.