Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Pastor akimbia baada ya mke wake kuvamia madhabahu kwa machozi

August 12, 2025

TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA

August 11, 2025

Binti apagawa ghafla mbele ya wachumba aliowadanganya kwa miezi

August 11, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Pastor akimbia baada ya mke wake kuvamia madhabahu kwa machozi
  • TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA
  • Binti apagawa ghafla mbele ya wachumba aliowadanganya kwa miezi
  • UMD WASIMAMISHA WAGOMBEA WANAWAKE, WACHUKUA FOMU ZA KUOMBA UTEUZI TUME
  • BUSUNGU WA ADA-TADEA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS
  • Mume apigwa na kifafa kwa madhabahu ya harusi dakika baada ya kumkana bibi yake wa kwanza
  • RC MALISA AWASISITIZA VIONGOZI WA DINI KUDUMISHA AMANI
  • TCRA na TBN Wajipanga Kuhakikisha Habari za Uchaguzi Zinaripotiwa kwa Usahihi
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » MANAIBU MAKATIBU WAKUU OR-TAMISEMI WATEMBELEA BANDA LA TARURA
Habari za Kitaifa

MANAIBU MAKATIBU WAKUU OR-TAMISEMI WATEMBELEA BANDA LA TARURA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuAugust 8, 2025Updated:August 8, 2025No Comments2 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

#Waipongeza kwa kuwafungulia barabara wakulima

Dodoma

Manaibu Makatibu Wakuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI wakiongozwa na Mhandisi Rogatus Mativila Naibu Katibu Mkuu (Miundombinu) Sospeter Mtwale – Naibu Katibu Mkuu  (TAMISEMI)) na Prof. Tumaini Nagu – Naibu Katibu Mkuu (Afya) wametembea Banda la Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) katika kilele cha Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane katika Viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma.

Makatibu Wakuu hao wamepatiwa maelezo mbalimbali kutoka kwa Wataalamu wa Wakala huo wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Bi. Catherine Sungura kuhusu majukumu, utekelezaji wa miradi mbalimbali pamoja na mipango ya TARURA inayohusu uboreshaji na ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake Naibu Katibu Mkuu Sospeter Mtwale amewapongeza TARURA kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kufungua barabara hususan maeneo ya wakulima,wavuvi na wafugaji na hivyo kuwarahisishia kusafirisha mazao yao.

Pia amesema barabara hizo zimesaidia waendesha bodaboda na waendesha vyombo vya moto vingine na hivyo kupata ajira hivyo kuwataka kuendelea kuboresha barabara za vijijini ili ziweze kupitika wakati wote.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA

August 11, 2025

UMD WASIMAMISHA WAGOMBEA WANAWAKE, WACHUKUA FOMU ZA KUOMBA UTEUZI TUME

August 11, 2025

BUSUNGU WA ADA-TADEA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS

August 11, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024180

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025170

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202581
Don't Miss
Uncategorized

Pastor akimbia baada ya mke wake kuvamia madhabahu kwa machozi

By Mbeya YetuAugust 12, 20250

Ibada ya Jumapili katika kanisa moja maarufu eneo la Kihonda ilikatizwa ghafla kwa taharuki, baada…

TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA

August 11, 2025

Binti apagawa ghafla mbele ya wachumba aliowadanganya kwa miezi

August 11, 2025

UMD WASIMAMISHA WAGOMBEA WANAWAKE, WACHUKUA FOMU ZA KUOMBA UTEUZI TUME

August 11, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Pastor akimbia baada ya mke wake kuvamia madhabahu kwa machozi

August 12, 2025

TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA

August 11, 2025

Binti apagawa ghafla mbele ya wachumba aliowadanganya kwa miezi

August 11, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024180

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025170

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.