Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 13, 2025

Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli

August 13, 2025

LIVE: MWENYEKITI WA CCM MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI CCM 2025 GALA DINNER

August 12, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS
  • Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli
  • LIVE: MWENYEKITI WA CCM MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI CCM 2025 GALA DINNER
  • Adai kunywa chai ya mapenzi ambayo ilimfanya amsahau mama yake
  • CHAUMA Yatua NEC: Salum Mwalimu Achukua Fomu za Urais 2025
  • Pastor akimbia baada ya mke wake kuvamia madhabahu kwa machozi
  • TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA
  • Binti apagawa ghafla mbele ya wachumba aliowadanganya kwa miezi
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป TCRA na TBN Wajipanga Kuhakikisha Habari za Uchaguzi Zinaripotiwa kwa Usahihi
Habari za Kitaifa

TCRA na TBN Wajipanga Kuhakikisha Habari za Uchaguzi Zinaripotiwa kwa Usahihi

Mbeya YetuBy Mbeya YetuAugust 10, 2025Updated:August 10, 2025No Comments11 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Na Mwandishi Wetu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeandaa mafunzo maalumu kwa Mtandao wa Mabloga (TBN) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafunzo haya yatafanyika Jumatatu, Agosti 11, 2025, katika Makao Makuu ya TCRA.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka TCRA mafunzo hayo yana lengo la kuwaandaa mabloga na wanahabari kwa ujumla ili waweze kuripoti habari za uchaguzi kwa weledi na uadilifu.

Mada mbalimbali zitakazowasilishwa na wataalamu kutoka taasisi tofauti. Baadhi ya mada zitakazojadiliwa ni pamoja na Mwongozo wa Waandishi wa Habari katika Uandishi wa Habari za Uchaguzi, Kanuni za Utangazaji wa Uchaguzi kwa Vyama vya Siasa za Mwaka 2020, na uhusiano kati ya Waandishi wa Habari na Jeshi la Polisi katika kulinda usalama.

Mada nyingi zitatoka Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, itakayozungumzia maadili na sheria kwa waandishi wa habari, mada kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii na Akili Bandia (AI) kuelekea uchaguzi na mada kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) itakayozungumzia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kuelekea uchaguzi.

Mafunzo haya yana faida kubwa kwa mabloga na jamii kwa ujumla kwani yatawawezesha wanahabari kutoa taarifa sahihi na zenye uwajibikaji, jambo ambalo ni muhimu katika kujenga mazingira ya uchaguzi yenye amani na utulivu.

Pia, yanatoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na Akili Bandia ili kuepuka taarifa za uongo.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 13, 2025

CHAUMA Yatua NEC: Salum Mwalimu Achukua Fomu za Urais 2025

August 12, 2025

TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA

August 11, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024180

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202581
Don't Miss

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

By Mbeya YetuAugust 13, 20253

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs…

Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli

August 13, 2025

LIVE: MWENYEKITI WA CCM MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI CCM 2025 GALA DINNER

August 12, 2025

Adai kunywa chai ya mapenzi ambayo ilimfanya amsahau mama yake

August 12, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 13, 2025

Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli

August 13, 2025

LIVE: MWENYEKITI WA CCM MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI CCM 2025 GALA DINNER

August 12, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024180

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.