Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Baada ya kumaliza tu Chuo, nilifanya hivi ili kupata kazi haraka sana!

August 13, 2025

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 13, 2025

Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli

August 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Baada ya kumaliza tu Chuo, nilifanya hivi ili kupata kazi haraka sana!
  • MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS
  • Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli
  • LIVE: MWENYEKITI WA CCM MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI CCM 2025 GALA DINNER
  • Adai kunywa chai ya mapenzi ambayo ilimfanya amsahau mama yake
  • CHAUMA Yatua NEC: Salum Mwalimu Achukua Fomu za Urais 2025
  • Pastor akimbia baada ya mke wake kuvamia madhabahu kwa machozi
  • TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA
Habari za Kitaifa

TBN YAKEMEA VIKALI ‘MANABII’ WA MITANDAONI, YATAKA WAJIBIKE KWA SHERIA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuAugust 11, 2025No Comments14 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mtandao wa Bloga Tanzania (TBN) umekemea vikali tabia inayoshamiri ya watu kujinadi kufanya utabiri kwa watu na taifa kupitia mitandao ya kijamii, ukisema vitendo hivyo vinakiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.

Kauli hiyo imetolewa kama azimio katika kikao kazi cha mafunzo ya mabloga kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Mabloga hao wameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kushirikiana kuwasaka na kuwachukulia hatua kali wale wote wanaohusika na vitendo hivyo.

Katika kikao hicho, mabloga walibainisha kuwa kumeibuka kundi la watu wanaodai kuwa ni manabii na kutoa kauli zinazokiuka sheria za nchi na kuleta taharuki kuelekea uchaguzi. Walisisitiza kuwa baada ya kuchambua Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (Personal Data Protection Act), walibaini kwamba ‘utabiri’ wa namna hiyo unavuruga haki ya msingi ya faragha ya wahusika.

Kwa mujibu wa Bw. Innocent Mungy, mtoa mada kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), sheria hiyo inakataza mtu kuzungumziwa kuhusu afya yake, mwenendo, au taarifa zake binafsi kutolewa bila ridhaa yake. Mungy alisisitiza kuwa sheria hii ina adhabu kali na lazima ifuatwe na kila mtu, si tu mabloga na waandishi wa habari.

Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na TCRA, yalilenga kuwaandaa mabloga kuripoti habari za uchaguzi kwa weledi na uadilifu.

Pamoja na mada ya ulinzi wa taarifa binafsi, mada nyingine muhimu zilizotolewa ni pamoja na Mwongozo wa Waandishi wa Habari katika Uchaguzi na Matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika uandishi wa habari.

Lengo kuu la mafunzo haya ni kuongeza uwezo wa mabloga kuhakikisha wanafuata sheria na maadili ya uandishi, jambo linalotazamiwa kuchangia mazingira ya uchaguzi yenye amani na utulivu.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 13, 2025

CHAUMA Yatua NEC: Salum Mwalimu Achukua Fomu za Urais 2025

August 12, 2025

UMD WASIMAMISHA WAGOMBEA WANAWAKE, WACHUKUA FOMU ZA KUOMBA UTEUZI TUME

August 11, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024180

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202581
Don't Miss
Uncategorized

Baada ya kumaliza tu Chuo, nilifanya hivi ili kupata kazi haraka sana!

By Mbeya YetuAugust 13, 20250

Kuna jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja…

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 13, 2025

Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli

August 13, 2025

LIVE: MWENYEKITI WA CCM MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI CCM 2025 GALA DINNER

August 12, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Baada ya kumaliza tu Chuo, nilifanya hivi ili kupata kazi haraka sana!

August 13, 2025

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 13, 2025

Kila mwanaume alinichezea hadi nilipovunja laana ya mapenzi na sasa nina ndoa yenye amani ya kweli

August 13, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024180

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025171

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.