Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nilipoteza Biashara Yangu ya Bidhaa za Nyumbani, Lakini Dawa Asilia Ilinirudishia Bahati Yangu ya Kifedha

October 10, 2025

TRA MBEYA YAWA KIMBILIO KWA WALIPA KODI BIL 39 ZAKUSANYWA KWA ROBO MWAKA

October 9, 2025

Dkt. Tulia Ahitimisha Mafunzo ya “Wanawake na Samia” VETA Mbeya, Apongeza Uongozi wa Rais Samia

October 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nilipoteza Biashara Yangu ya Bidhaa za Nyumbani, Lakini Dawa Asilia Ilinirudishia Bahati Yangu ya Kifedha
  • TRA MBEYA YAWA KIMBILIO KWA WALIPA KODI BIL 39 ZAKUSANYWA KWA ROBO MWAKA
  • Dkt. Tulia Ahitimisha Mafunzo ya “Wanawake na Samia” VETA Mbeya, Apongeza Uongozi wa Rais Samia
  • Shirika la Posta Laadhimisha Wiki ya Posta Duniani kwa Kutoa Msaada Hospitali ya Igawilo
  • Nilidhani Sina Bahati Maishani, Lakini Baada ya Hatua Moja Rahisi Kila Kitu Kikaanza Kuninufaisha
  • KIKWETE AIPONGEZA BENKI YA NMB
  • Mbinu Rahisi za Kumfanya Mume Wako Apagawe Kitandani
  • Austack “Kadogoo” Mushi Aililia Serikali imsaidie Baada ya Kuvamiwa na Kupoteza Kila Kitu
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » ZIARA YA MGOMBEA UBUNGE BAHATI NDINGO YAACHA TABASAMU KWA WANANCHI WA KATA YA MAHONGOLE
Habari za Kitaifa

ZIARA YA MGOMBEA UBUNGE BAHATI NDINGO YAACHA TABASAMU KWA WANANCHI WA KATA YA MAHONGOLE

Mbeya YetuBy Mbeya YetuOctober 5, 2025No Comments7 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Leo 05 Oktoba 2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Bahati Keneth Ndingo, ameendelea na kampeni zake za kishindo kwa kufanya ziara kubwa ya kampeni katika Kata ya Mahongole, akiinadi Ilani ya CCM kwa mwaka 2025.

Mhe. Bahati Ndingo amepokelewa kwa shangwe na mamia ya wanachama na wapenzi wa CCM kutoka maeneo mbalimbali ya Kata ya Mahongole, hususan katika eneo la Igalako, ambako wananchi wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza na sera za mgombea huyo

Katika ziara hiyo, Mhe. Bahati Ndingo alipata nafasi ya kutembelea maeneo ya biashara, vijiwe vya bodaboda, pamoja na vilabu vya pombe ambapo amezungumza nao moja kwa moja na wananchi kutoka vitongoji na vijiji mbalimbali vya kata hiyo, vikiwemo:
Mpakani, Kapyo, Nsonyanga, Mkoji, Ilongo, Ilaji, Mahongole, na Igalako.

Kata ya Mahongole ni kata ya 16 kutembelewa na Mhe. Bahati Ndingo tangu kuanza rasmi kwa kampeni zake za Kijiji kwa Kijiji, akiwa na lengo la kuomba kura kwa ajili ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

Kampeni hizi zinaongozwa na kaulimbiu ya “Tunaendeleza Tulipoishia – Mbarali Yetu, Fahari Yetu” Kauli mbiu hii ikiwa inalenga na kusisitiza Kazi, Maarifa, Nguvu, na kujituma zaidi kwa maendeleo ya wananchi.

Katika hotuba yake ya kufunga mkutano, Mhe. Bahati Ndingo aliwashukuru wananchi wa Kata ya Mahongole kwa kuwasihi kuwa wawe na imani na CCM huku akiahidi kuwa Chama hicho kitaendelea kuwa karibu na wananchi na kutatua changamoto zao kwa vitendo kupitia mipango imara ya maendeleo.

📲 Endelea kufuatilia taarifa na matukio ya kampeni ya Mhe. Bahati Keneth Ndingo kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii.

🔰 @Bahati Keneth Ndingo
#BKN #CCM2025 #MbaraliKwanza #MaendeleoKwaVitendo

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

Shirika la Posta Laadhimisha Wiki ya Posta Duniani kwa Kutoa Msaada Hospitali ya Igawilo

October 9, 2025

KIKWETE AIPONGEZA BENKI YA NMB

October 8, 2025

MGOMBEA UBUNGE MHE. BAHATI KENETH NDINGO AENDELEA NA ZIARA KATA YA RUJEWA, MBARALI

October 7, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025218

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024192

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025163

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025125
Don't Miss
Uncategorized

Nilipoteza Biashara Yangu ya Bidhaa za Nyumbani, Lakini Dawa Asilia Ilinirudishia Bahati Yangu ya Kifedha

By Mbeya YetuOctober 10, 20251

Jina langu ni Osman Said, na kwa miaka kadhaa nilikuwa nikijivunia kuwa mfanyabiashara wa bidhaa…

TRA MBEYA YAWA KIMBILIO KWA WALIPA KODI BIL 39 ZAKUSANYWA KWA ROBO MWAKA

October 9, 2025

Dkt. Tulia Ahitimisha Mafunzo ya “Wanawake na Samia” VETA Mbeya, Apongeza Uongozi wa Rais Samia

October 9, 2025

Shirika la Posta Laadhimisha Wiki ya Posta Duniani kwa Kutoa Msaada Hospitali ya Igawilo

October 9, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nilipoteza Biashara Yangu ya Bidhaa za Nyumbani, Lakini Dawa Asilia Ilinirudishia Bahati Yangu ya Kifedha

October 10, 2025

TRA MBEYA YAWA KIMBILIO KWA WALIPA KODI BIL 39 ZAKUSANYWA KWA ROBO MWAKA

October 9, 2025

Dkt. Tulia Ahitimisha Mafunzo ya “Wanawake na Samia” VETA Mbeya, Apongeza Uongozi wa Rais Samia

October 9, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025218

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024192

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025163
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.