Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa na baadhi ya Wadhamini wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yaliyozinduliwa Oktoba 10,2025 akiwemo Meneja Mahusiano Mwandamizi wa NMB Josephine Kulwa wakati wa ufunguzi wa Wiki ya Vijana katika Soko la Uhindini jijini Mbeya.
Baadhi ya wanafunzi na wananchi waliohudhuria ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Oktoba 10,2025 katika Viwanja vya Soko la Uhindini jijini Mbeya wakifuatilia kwa karibu hotuba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa aliyekuwa mgeni rasmi.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari wasichana Loleza waliotembelea Banda la NMB kwenye Maadhimisho ya wiki ya Vijana viwanja vya Soko la Uhindini jijini Mbeya.
Matukio mbalimbali katika picha kwenye Banda la NMB Oktoba 10,2025 wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana viwanja vya Soko la Uhindini jijini Mbeya.