Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele (katikati) akiongoza kikao cha Tume kilichokutana Jijini Dodoma leo Novemba 7, 2025 na kupitisha majina ya wabunge wa viti maalum. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume , Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk na kushoto ni Katibu wa Tume ambae pia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima.
Tume ikiwa katika kikao chake hii leo.
******
Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 66(1)(b) na 78(1) za Katiba ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 zikisomwe pamoja na kifungu cha 112 cha
Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, Tume
Huru ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake kilichofanyika leo tarehe 07 Novemba,
2025 imefanya uteuzi wa Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 115 kati ya idadi ya
Wabunge 116 wanaopaswa kuteuliwa.

Aidha, nafasi ya Mbunge mmoja uteuzi wake
utafanyika baada ya kukamilisha uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Fuoni –
Tanzania Zazibar na Jimbo la Siha Tanzania Bara.
Ifuatayo ni orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 115 walioteuliwa: