Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE

November 25, 2025

Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi

November 25, 2025

Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa

November 24, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE
  • Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi
  • Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa
  • Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii
  • Serie A yampa fedha baada ya kubaini mbinu bora ya betting
  • Hatua moja muhimu ya kufanikiwa kibiashara
  • MSIGWA Atoa Onyo kwa Vyombo vya Habari vya Nje: Zingatia Maadili
  • Namna ya kuimarisha ustawi wa ndoa yako
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE
Habari za Kitaifa

WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE

Mbeya YetuBy Mbeya YetuNovember 25, 2025No Comments23 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

– Azungumza na vijana Tunduma, Mkoa wa Songwe

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka leo Novemba 25, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukutana na kuzungumza na vijana kuhusu masuala mbalimbali ya ustawi wa kundi hilo ikiwemo shughuli za Ajira, Uwezeshwaji kiuchumi, Elimu, Afya na Miundombinu kwa ajili ya ustawi wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla.

Mhe. Waziri Nanauka ametembelea kwenye vijiwe pamoja na miradi ya vijana katika eneo la Sogea stendi, Kilimanjaro, Kisimani, Stendi ya zamani ya Majengo na Mpemba.

Akizungumza mara baada ya kukutana na vijana hao amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeanzisha Wizara maalumu ya Maendeleo ya Vijana nchini ili kuratibu na kusimamia kwa umakini masuala yote yanayohusu vijana ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto zao kwa ufanisi na kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya taifa.

Waziri Nanauka alieleza falsafa tatu zinazoongoza Wizara hiyo kuwa ni Kasi ya kusikiliza na kutekeleza mawazo na ushauri wa Vijana, pili kuwafikia vijana walipo na kuwasikiliza ambapo viongozi wote wa Mikoa na Wilaya watafanya hivyo pia na tatu kuwekeza kwenye matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano ambapo Wizara itaanzisha mfumo maalum kuwezesha Vijana kufikisha mawazo na mchango ikiwemo changamoto zao ili Serikali ichukue hatua za kutatua kwa haraka.

Kwa upande mwengine, Vijana wa Boda Boda, Bajaji na wafanyabiashara wa Soko la Majengo Wilaya ya Momba wameomba viongozi walioteuliwa na Rais wamshauri Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa hekima na uzalendo ili nchi yetu itambue mahitaji na mawazo ya vijana.

Mara baada ya kuwasili katika mkoa huo, Waziri Nanauka alipokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Jabiru Makame ambaye alimpa taarifa juu ya hali ya maendeleo ya Mikoa huo.

Waziri Nanauka ameanza ziara kukutana na kujadiliana na Vijana ili kuweza kusikia mawazo yao kuhusu mustakabali wa Taifa hatua itakayochangia Serikali kuweka mipango mahsusi kwa ajili ya Maendeleo ya Vijana.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

RUNGWE WAINGIA MKATABA WA BILLIONI 1.8 NA KAMPUNI YA KAGWA GENERAL SUPPLIES LIMITED KUJENGA SOKO LA NDIZI LA KISASA

November 22, 2025

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AAGIZA MKANDARASI KUKAMATWA NA KUZUIA HATI YAKE

November 21, 2025

VIONGOZI WA BARAZA KUU LA WAISLAMU BAKWATA MKOA WA MBEYA WATEMBELEA MRADI WA UJENZI SHULE YA SEKONDARI YA KIISLAMU JIJINI MBEYA.

November 9, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025232

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025127
Don't Miss
Habari za Kitaifa

WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE

By Mbeya YetuNovember 25, 202523

– Azungumza na vijana Tunduma, Mkoa wa Songwe Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -…

Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi

November 25, 2025

Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa

November 24, 2025

Kutoka hasara hadi faida katika biashara, mbinu ni hii

November 24, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

WAZIRI NANAUKA ATAKA VIJANA WASIKILIZWE

November 25, 2025

Je, unatafuta kazi kwa muda mrefu fanya hivi

November 25, 2025

Waziri Mkuu aagiza Kanisa la Ufufuo na Uzima kufunguliwa

November 24, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025232

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025230

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024200
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.