Nilifungua duka langu na matumaini makubwa, nikifikiri kila kitu kitaratibu. Nilihakikisha bidhaa zangu ziko safi, bei zipo sawa na soko, na kila mteja anapokelewa kwa tabasamu. Lakini kwa miezi kadhaa, jambo lilikuwa tofauti kabisa.
Wateja walikuwa wachache sana, mara nyingine siku nzima ikafika bila hata mtu mmoja kuingia. Nilihisi huzuni na kuchanganyikiwa. Nilijua nimeweka jitihada nyingi, lakini matokeo hayakuonekana.
Nilijaribu kila njia: kubadilisha mpangilio wa duka, kuweka matangazo madogo, kutoa punguzo, hata kubadilisha rangi na kuweka bidhaa kwa urembo zaidi. Lakini hakuna kilichobadilika. Baadhi ya wenzangu walinipendekezea nifunge duka, wakiamini siwezi kufanikisha biashara. Soma zaidi hapa

